Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

kibaya zaid ye yuko ofis za kifisad kipato chako chamwez anauwezo wa kukidaka kwa siku 2 au 3 mbona utaachishwa kaz. Uku kitaan kwetu kuna jamaa ye ni kinyoz tu deiwaka ila waifu wake ana vimilad sema ndo ivo kiswahilisawhili. ana mama ntilie,ana kijiduka cha vipodoz ila izo nyodo zake jamaa anataman kukimbia nyumba ila ndo ivo tena wana watoto wawili mwanadada akianza kumwagia matusi jamaa machoz huwa yanabubujika mbele ya wapangaj wenzake ila ndo ivo ana cha kufanya sababu ata kod ya nyumba analipa mama.

Huo ni upande mmoja wa shilingi je upande mwingine!
 
If I had a girl that made more money than me I would see it as pretty handy. Mainly because even in these days women still typically make less than men. It could also be used as inspiration to achieve a higher paying job.
 
Mbu,kuongoza kuna maana ya kusimamia mtu au kikundi cha watu kwenda kule mlikokubaliana kwenda.KAZI YA KIONGOZI ni kuwasimamia anaowaongoza au anaemuongoza kuyafanya yale anayotakiwa kuyafanya wakati wa safari ya kuelekea mnakoenda!

....sawa sawa kamanda....tupo pamoja.


Mwanaume wa dizaini ya ODM siyo type hii.... ntake radhi.

Ishu ya hawa watu ni mapenzi wajameni...... huyu kidume hakumpenda huyu bunti. Ukimpenda mtu fedha si ishu. Jamaa alishakula mzigo akaona haumlipi akatafuta sababu. Yaweza kuwa labda ana demu wake kwa hiyo amekula mzigo kisiri na kusepa wake asijejua. (Huo ndo uanaume sasa)

...ok kiongozi, 'mekuelewa sasa, ...lol...

images
 
Keshakula, hapo kuna kuuliza tena broda!
Ilianzia hapa....

Uko sahihi mpendwa,
Kisicho riziki siku zote hakiliki!
Ebo, ulishasema kishakula sasa vipi tena hakiliki?

Ewaaaaaa......... bali kinatafunwa. Sawa?
Nikakusaidia

Khaaaaa!
Asa kutafunwa kuna tofauti gani na kuliwa babu?
Nikaulizwa

Kutafuna........ kama unavyotafuna bigijii, huimezi siyo?
Kuliwa............Unatafuna afu unameza....

Tukienda kwa lugha ya ki-MMU jukwaa la Chit Chat:
Ukitoka na boifrendi wako akavaa kondom, ujue kakutafuna
Asipovaa, amekukula.

Soma upesi nidiliti kabla PAW hajaisoma.:hatari:
Nikafafanua

Au kwa kifupi bigi jii haitafunwi na maganda yake
Mdau akanisaidia kukazia somo

khaaaaaaa...............kumbe ndo hivyo....mhhhhh!!!!!
Mdau akawa amenielewa

Haaaa haaa haaa!
Uwiiiii, mbavu zangu mie,
Haya nimekuelewa babu,
Maana ukiendelea hapa itakuwa ishu,
Unaweza ukaidiliti tu sasa lol!
Ukafurahi sana kwa ufafanuzi wangu

Nafikiri hawezi kuuliza tena.....maana ikishaenda huko, wengine hatuna funguo za hilo jukwaa....
Rafiki akanihakikishia

Nimeshakubali wala siulizi tena,
Haya majibu yake tu mie hoi lol!
Na kweli hukuuliza

umeona eee...canta....huyo ndo BABU ODM....akitokea mwingine ni fake...🙂 🙂
ODM anawashaurini hivi::focus: Pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!!
 
Sante mkuu, na bia nazo ungenipa tano mbona ingekuwa biyee!

Unanivimbisha mbichwa ujue, afu kuna watu watanionea wivu. Shauri zangu wallah!
Wenye wivu wajinyonge,
Kiukweli kwa upande wangu huwa nikisoma comment zako jukwaa lolote lile huwa naenjoy!
Najua hili hata wajukuu wako lukuki humu ndani wanalikubali,
So Babu ODM THE GREAT! source: Canty.
 
Labda hakufurahishwa na mzigo....
Sidhan km ni hivyo coz tangu alipoanza kula mzigo ndio alipagawa zaidi mpaka akawa anatoroka kazin kwenda kuufata!
Huyu kakosa tu kujiamin mbele ya kipato cha binti.
 
Wenye wivu wajinyonge,
Kiukweli kwa upande wangu huwa nikisoma comment zako jukwaa lolote lile huwa naenjoy!
Najua hili hata wajukuu wako lukuki humu ndani wanalikubali,
So Babu ODM THE GREAT! source: Canty.

asalaalah ... !
 
mi ushauri wangu kwa jamaa bora angekaa na binti kwa kuwa marafiki hata kwa mwaka na zaidi,angempima na kumuona uelekeo kama kweli anampenda kwa dhati au la,vinginevyo atakuwa akimkimbia kila binti.
 
Wenye wivu wajinyonge,
Kiukweli kwa upande wangu huwa nikisoma comment zako jukwaa lolote lile huwa naenjoy!
Najua hili hata wajukuu wako lukuki humu ndani wanalikubali,
So Babu ODM THE GREAT! source: Canty.
Hahahahaha! dah! Leo ntakukumbuka katika sala zangu😛oa

asalaalah ... !
Ayaaa! Tayari wamekwisha anza!!:A S-coffee:
 
Ayaaa! Tayari wamekwisha anza!!:A S-coffee:

lol ... tumeanza nini tena babu?? ... naona tu jasho linavyokutoka kukimbizana na mjukuu ... mpwa simuoni leo hapa ndo maana nduguze macho yatutoka!
 
lol ... tumeanza nini tena babu?? ... naona tu jasho linavyokutoka kukimbizana na mjukuu ... mpwa simuoni leo hapa ndo maana nduguze macho yatutoka!
Unajua tena, wajukuu saa nyingine hukaimu nafasi ya bibi. Najitesea kwa raha zangu. Na mpwa yupi wamzungumzia hapa, tumejaaliwa kuwa na wengi.
 
Unajua tena, wajukuu saa nyingine hukaimu nafasi ya bibi. Najitesea kwa raha zangu. Na mpwa yupi wamzungumzia hapa, tumejaaliwa kuwa na wengi.

akyanani ... hapo ni kama SS akaimu nafasi ya EL ... patatosh a kweli?? bibi sijui hata amepotea wapi leo ... naona mjukuu ana spidi ya kutisha sana ... don't do the needful bana!
 
Karibu mkuu,
Dah, leo sijakuona ulikuwa wapi,
Sema chochote basi,
Nimeamua kumpa babu ufagio wake lol!

nipo nakusoma mpwa, naona leo umeamua kufunguka na babu! .... busara zimajaa hapo ... hakuna litakalo haribika kabisa!
 
nipo nakusoma mpwa, naona leo umeamua kufunguka na babu! .... busara zimajaa hapo ... hakuna litakalo haribika kabisa!
Asante sn,
Na ww funguka kidogo bwana,
Mwambie babu akutafsirie uzi hapo najua utaelewa tu.
 
Asante sn,
Na ww funguka kidogo bwana,
Mwambie babu akutafsirie uzi hapo najua utaelewa tu.

uzi wako wa leo una utata, hawachelewi kukuambia una mfumo dume ...!
lakini tunachopaswa kufahamu ni kuwa matatizo mengi katika mahusiano, hasa ndoa, husababishwa na:

1: fedha / kipato
2: mahusiano (baina ya wenzi / na mahusiano ya na ndugu / jamaa / marafiki)

hakuna zaidi ya hapo!
 
Back
Top Bottom