Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

mkokamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2024
Posts
1,313
Reaction score
1,671
Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓

Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu

Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers

Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥

Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
 
nipe namba zake nijaribu kumuimbisha nione kama atajaa kwenye mfumo ama atakaza...

Gawa namba kabisa tutesti mitambo, akichukia hicho kitendo ujue huyo ni dume..

Halafu mtafutie kazi ya kubeba zege kwa lazima, ama kubeba mawe huko kwa mafundi ujenzi ili akazike mwili uchoke

honga mafundi kabisa utamsaidia dogo
 
Dogo anadai eti amepeleka barua kujitolea kituo cha afya ila majibu ndo bado hajapewa
 
Zama rohoni uvunje hilo Pepo la ushoga

Kemea kwa nguvu zote tutashinda

Ukimaliza hivyo tumia mbinu za dunia kuwa mkali kwa huyo shemeji yako acha kuogopa kununiwa mtoto wa kiume
Jumapili nitajitahidi aombewe
 
Alikuwa na traits za kishoga toka zamani,ila tiktok ndio imeenda ku trigger
Sijajua manake ni mara ya kwanza amekuja kuishi huku kwangu na nilikuwa namuona kwa nadra si unajua mashemeji hawatuzoei haraka
 
Back
Top Bottom