Kuna ile issue ya kiroho inaitwa spiritual exchange.Kuhusu kulipwa sijajua, tueleze zaidi kuhusu hiyo influence ya devil
tikisa uone kama inatikisikaCha kufanya mwombe kinyeo
Unamaanisha hizo mbinu za kishoga shoga kugain followers kapewa na devil?Kuna ile issue ya kiroho inaitwa spiritual exchange.
Mungu hutumia hii law na shetani kaiga pia.
Yaani Mungu hakupi chochote mpaka pafanyike manadilishano.
Aidha umpe praise au umpe sadaka ndipo atakupa kitu.
Shetani yuko the same, atakupa fame, hiyo fame ndiyo itakupa pesa na connection na watu maarufu. Ila lazima mfanye exchange.
Hii exchange ni sadaka na sadaka anayoitaka ni wewe mwenyewe ujitoe sadaka. Hapo aidha atakufanya msagaji, shoga, au kuwa na maisha mafupi.
Nilimtafuta vyumba vya uani sikumpata.Yupo Tiktok
Mzushiii huyo anajificha. Ila uhalisia watu wanamlaYeye anadai kufanya hivo inamuongezea followers haraka ila dah!
Mkuu kata utepe mwenyewe huyo. Vinginevyo masela watakuwahiHabarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers
Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥
Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
🤣🤣🤣Ushauri wa ovyo sana huuMkuu kata utepe mwenyewe huyo. Vinginevyo masela watakuwahi
Amuwahi. Vinginevyo anaenda kugawa bure nje🤣🤣🤣Ushauri wa ovyo sana huu