JAMES EM
Senior Member
- Oct 31, 2019
- 100
- 113
🤣🤣🤣💯✔️Amuwahi. Vinginevyo anaenda kugawa bure nje
🤣🤣🤣💯✔️Amuwahi. Vinginevyo anaenda kugawa bure nje
😅😅Halafu mtafutie kazi ya kubeba zege kwa lazima, ama kubeba mawe huko kwa mafundi ujenzi ili akazike mwili uchoke
Mwache afanye atakalo,aibu sio yako ni ya mkeo na nduguze,mradi akizidi mpe nauli asepeHabarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers
Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥
Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
KabisaZama rohoni uvunje hilo Pepo la ushoga
Kemea kwa nguvu zote tutashinda
Ukimaliza hivyo tumia mbinu za dunia kuwa mkali kwa huyo shemeji yako acha kuogopa kununiwa mtoto wa kiume
Mimi nimejifunza tiktok juzi ni nzuri sana kama unaenda kwa lengo la kurefresh tuBinafsi sijui kwanini sijawahi kuielewa TikTok,
Pita nae! Mada nyingine za ******* sana.Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers
Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥
Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
Ushauri makini kabisaa ishu je ataniruhusu niichukue simu yake? Na akishajua mimi ndo nimefanya hivyo itaniletea ugomvi mkubwa kati yangu dada ake na yy mwenyewe!!Chukua sim yake
Kwenye Tiktok settings
I disable au force to stop
Na ikiwezekana ireport account yake
Alf ikiwezekana disable data kwenye Tiktok yake
Unaangaliaga zile movie za missionUshauri makini kabisaa ishu je ataniruhusu niichukue simu yake? Na akishajua mimi ndo nimefanya hivyo itaniletea ugomvi mkubwa kati yangu dada ake na yy mwenyewe!!
Vitoto vya elfu mbili shida tupu