MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Nimepiga hesabu hapa,2009 nipo primary 🏃Daaaah nini mawaaa🤣🤣
Nimepiga hesabu hapa,2009 nipo primary 🏃Daaaah nini mawaaa🤣🤣
2011 nimemaliza chuo kikuu cha udom digree yangu ya kwanza ya ukunga na unesi , na nimesoma miaka mi 4.Nimepiga hesabu hapa,2009 nipo primary 🏃
Hiyo 2011 Kuna bro wangu kamalicha hapo udom,yeye kasomea siasa na utawala😁,,aah mie nilikuwa dogo Bado sana,2011 nimemaliza chuo kikuu cha udom digree yangu ya kwanza ya ukunga na unesi , na nimesoma miaka mi 4.
Huko mwaka Bado nilikuwa naogeshwa na mama😁2011 nimemaliza chuo kikuu cha udom digree yangu ya kwanza ya ukunga na unesi , na nimesoma miaka mi 4.
Hahahaha nilijua tuHuko mwaka Bado nilikuwa naogeshwa na mama😁
🤣🤣🤣🤣,muoneHahahaha nilijua tu
Yeah🤣🤣🤣🤣,muone
Ngoja nijiweke ki usgangazi Sasa😁Yeah
Nakuita selfika uselfika kama ile siku nyau wewe😅Ngoja nijiweke ki usgangazi Sasa😁
🤣🤣🤣 ngoja nijeNakuita selfika uselfika kama ile siku nyau wewe😅
Warudishe kwao mkeo na shemeji yako mkuu, watasema wewe ndo umemfundishaHabarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers
Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥
Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
Akajitolee huko kwa wazazi wake mkuuDogo anadai eti amepeleka barua kujitolea kituo cha afya ila majibu ndo bado hajapewa
Dogo wanampasua kitambo. Tiktok anaisingizia