Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Analipwa pesa na TikTok?
Tuanze kwanza hapo.
Binafsi nitatumia mitandao yote ya kijamii ila sio TikTok .
Mitandao yote ni agents za ibilisi ila TikTok iko highly influence na devil kuliko mitandao mingine
Uko sahihi, ticktock ukiwaza ata kitu ndio utakachokiona! Ukiwa na furaha utashangaa hizo page,ukiangalia shoga mmoja watakuja wote! ukiwaza ndoa zitakuja hizo page🙌🏾
 
Ulioa lini lakini mkuu mbona unatuzingua?

imebidi nifatilie baadhi ya taarifa nijue na mengineyo

👇👇👇👇

Sikuleta tu mrejesho lkn nina ishi nae ndo mana awamu hii shemeji nayeye amekuja kwangu
 
Back
Top Bottom