Bro usi ulize, we pigia mstariHuyo shemeji ako ni wewe?
Anaye wadanganya kwamba ushoga unazuiwa na kazi au majukumu magumu nani? Hivi ndivyo mnavyojidanganya eeh?nipe namba zake nijaribu kumuimbisha nione kama atajaa kwenye mfumo ama atakaza...
Gawa namba kabisa tutesti mitambo, akichukia hicho kitendo ujue huyo ni dume..
Halafu mtafutie kazi ya kubeba zege kwa lazima, ama kubeba mawe huko kwa mafundi ujenzi ili akazike mwili uchoke
honga mafundi kabisa utamsaidia dogo
Naomba jina lako huko tik tok nikufoloUnamaanisha nini ndg?
Tufanye nini kuzuia hii kitu?Anaye wadanganya kwamba ushoga unazuiwa na kazi au majukumu magumu nani? Hivi ndivyo mnavyojidanganya eeh?
Mashoga wamepitia JKT kwa mujibu miezi 3, na wakatoboa, leo hii unasema kuhusu nn?
Mkae chini afu muanze kutafiti nn maana ya ushoga, hizi fikra zenu zinawapotosha kuhusu. Lol.
Usimtilie kiwingu, anapatikana wapi nimpe ushauri.Habarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓
Nina shemeji yangu wa miaka ishirini ambaye yuko chuo cha uuguzi likizo hii yupo kwangu
Anapenda mitandao ya kijamii balaa hasa hii ya kuitwa Tiktok, toka likizo ianze dogo kawa mtu wa kuingia live kinachonishangaza kule anaongea sauti kama demu na kundi linalomfuatilia ni la mademu hadi wanamuita "shoga" kilichonishitua juzi alivaa wigi na dera akaingia iyo laivu eti "tap tap tap ...nk" nilipomuuliza akasema ndo anaongeza followers
Niliongea na waifu jana tumkataze mitandaoni na yeye kaninunia eti namnyima uhuru mdogo ake sasa ninachohofia tutalipoteza hili dume😥
Nifanye nini sasa manake sikuhizi ni kubaya soon anaweza niletea aibu huyu?
Kuhusu kulipwa sijajua, tueleze zaidi kuhusu hiyo influence ya devilAnalipwa pesa na TikTok?
Tuanze kwanza hapo.
Binafsi nitatumia mitandao yote ya kijamii ila sio TikTok .
Mitandao yote ni agents za ibilisi ila TikTok iko highly influence na devil kuliko mitandao mingine
Kama anapenda ushoga mpeleke ccm makomredi wamgeuze kadaHabarini wana jukwaa!!! Tujikumbushe tu oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaa🤓