Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Mdogo wako ndo anafundisha ushoga tik tok NOT the other way around.
 
Mfukuze halafu ukikaa nawo dakika mbili nyingi wanamfundisha mtoto wako wa kiume hapo ndio utalia
 
Binafsi nikiwa na familia hata nyimbo za kina jux Zina maudhui ya kishoga Bora waangalie ANORD LA JINI AU VANDAME
 
Muulize straight kama yeye ni shoga, kama sio shoga mwambie anayofanya kama kuvaa mawigi, madela na kulegeza sauti ni dalili za ushoga, mshauri aache na inawezekana sio shoga ni show off tuu kupata followers, mambo ya Gen Z sio rahisi kuyaelewa sometimes
 
Kama mmeongea nae kagoma mpeni na mtandaio
 
Sijajua manake ni mara ya kwanza amekuja kuishi huku kwangu na nilikuwa namuona kwa nadra si unajua mashemeji hawatuzoei haraka
Kua mkali kwake,usiogope mkeo,we ndo mwenye nyumba ndo kichwa familia, vinginevyo utaharibu kizazi chako pia,kua makini na serious.
 
Watu wajinga sana ,hata wazungu eti mtu kujinyonga kisa ushawishi wa mitandao , mwingine kaua mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…