Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

Tengeneza acc fake mfollow..then mtongoze
 
Amuwahi. Vinginevyo anaenda kugawa bure nje
Mpaka ye kagundua huyo ashatafunwa sana tu.
Ni jambo dogo tu kumwambia "naona una mambo mengi hapa, kapange kwako."
Amlipie kodi miezi mi3 kuanza maisha.
Dada akibisha naye unamwambia waongozane isiwe tabu.
Atafumaniwa na mume wa mtu huko uletewe balaa nyumbani ndo utajua hujui.
 
Changamoto dogo bado anasoma pia, huko chuo yanayofanyika nasikia ni balaa juu ya balaa!! Tuwaombee tu wenye watoto wao
 
Kama kuna watoto hapo kwako, mtimue ASAP!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…