Msaada: Tatizo la kutokwa na damu wakati wa haja kubwa

Kuna Mahala Amesema Kuwa Choo kwa sasa Kipo vizuri Ila bado anapata The same symptoms..
So nafikiri tyari kashapata Complication ambayo imesababisha Condition aliyonayo
labda nipitie hapa tena kumuuliza condition inaendelea kua worse au kuna improvement. maana kama hari inaendelea kua nzuri atapona tu hamna haja ya kuanza kumtaftia maradhi ambayo ata daw zake pia n za mchongo. hata hio hope inatosha
 
labda nipitie hapa tena kumuuliza condition inaendelea kua worse au kuna improvement. maana kama hari inaendelea kua nzuri atapona tu hamna haja ya kuanza kumtaftia maradhi ambayo ata daw zake pia n za mchongo. hata hio hope inatosha
Mkuu Kuna maradhi hayaponi kwa kuyaacha yaendelee kuwepo..

Samahani kidogo wewe Ni daktari??

Kwamba kama Itakuwa Ni Bawasiri basi itapona kwa kuwa Hana tena Consitapation??

Kama Ni crohn Disease itapona kwa sababu hana Tena Constipation?

Kama Kapata Anal Stenosiss bhasi Itapona kwa sababu Constipation haipo Tena ??

Kama anal Saratani Itapona kwa sababu Constipation haipp tena?

Cha msingi Ndugu yetu aende Hospitali apate uchunguzi na Apatiwe matibabu stahiki

Natamani Kuamini kwamba Unatania na haukuwa Serious..
 
Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Chief angalia na jina la mjumbe anajiita autocare kama una D mbili utajua ni wale wa dawa za bf suma na wengine kama hao wanajua kila tatizo la gastrointestinal ni bawasili tu πŸ˜‚πŸ˜‚ na pud hamna kingine wanajua
Naomba msamehe Bure sio yeye ni google na chat gpt zinawadanganya πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mimi ni Doctor ambae sabab moja wapo ya kusomea udactari ni utoaji wa dawa hovyo kutibu symptoms kitu ambacho kimeharibu utoto wangu wote nimekulia hospital. ndio maana nikataka atoe maelezo vizuri, kabla watu hawajaanza kumbambikia magonjwa na kulishwa vitu vya ajabu na kwasabab anashda na huduma hospital za kibongo nahisi unazijua anaweza fuata ushauri wowote kwa kigezo cha kupona.

magonjwa mengi ulio taja yanastory ndefu sana nyuma yake cjui kama umemuuliza hizo story ili kua na kigezo cha kua nayo. story tulionayo alikua na constipation amepona bado haja inatoka na damu. condition inaendelea kua worse kila cku cjui, hapo ndio tuanze sa kuongea

Nivizuri tukisema aongee baada ya vipimo madactari walisemaj sio kutaka kujua kama mimi ni dactari au laa maana hata ninao watibu wengi ninawazidi shida za kiafya nilizonazo.
 
nina profession mbili engineering na doctor baada ya kupata brain fracture zote zikawa ruined at once uctake kujua zaidi tumekutania JF
 
Ni anal fissure hiyo mwambie ameze dawa hizi bisacodyl mg 5 viwili wiki mbili mfululizi Kila siku usiku na awe anakunywa maji mengi na aununue deto ya maji aloweke makalio kwenye maji ya uvugu vugu ili kidonda kipone Cc ephen_
Umemaliza kilakitu,ilinitokea hii nikatumia bisacodyl,nijatumia,nikawa nakula mapapai,maji mengi... ikaisha... Inatesa sana
 
This life is so confusing πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Brain fracture ni kitu ganπŸ˜‚ enhe kwa hyo ukifanyiwa brainiotomy au πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii Dunia hii πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
KWENYE THREAD YA WANAO JUA ZAIDI KUHUSU BRAIN FRACTURE NA HISI HUNA MAJIBU HUMO ANGALIA VIZURI JUKWAA LA AFYA.
 
Mkuu Unahabari Kwamba Kuna Baadhi Ya Magonjea Yanaweza Kuinduce Constipation??
Yaani Hysteric Constipation??

Kwa mfano mtu ana Anal Fissure au Anapata Maumivu makali wakati wa Haja huoni kama Lazma Constipation itakuja Automatically hata kama anafata sheria zote?

Kwasababu anaweza Kupata Feacal Impaction na Hata Feacal retention kwa Hofu ya Kuumia aendapo Haja??
 
Umemaliza kilakitu,ilinitokea hii nikatumia bisacodyl,nijatumia,nikawa nakula mapapai,maji mengi... ikaisha... Inatesa sana
Na vp kama kwa sasa hana constipation hiyo basocodyl itamsaidia?
 
Brain fracture ni kitu ganπŸ˜‚ enhe kwa hyo ukifanyiwa brainiotomy au πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii Dunia hii πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Is it Brain Fracture Possible au Skull fracture!
Samahani Kidogo kwa kuuliza Maana I'M not Orthopedics mimi Ni Paediatrician Tu..
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Is it Brain Fracture Possible au Skull fracture!
Samahani Kidogo kwa kuuliza Maana I'M not Orthopedics mimi Ni Paediatrician Tu..
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Ndo maana nikauliza hapo chief πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…