DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Una umri wa miaka mingapi?Sijui nikujibu vipi unielewe sio Kama sisali ila nimepatwa na ugonjwa nisiojua tiba yake ndo maana nimekuja kuomba msaada
Halaf kuna ndugu zangu kama watatu walikua wanaumwa lakini sio ugonjwa kama wangu wakaenda kwa sheikh mkoa fulani wakapona kabisa
Lakini sheikh yuleyule mimi alikataa kunitibu sasa sijui wachawi wanawapaga rushwa [emoji24]
Akaanza kuniambia vitu havina uhalisia sijui nikatibiwe makaburini nikaachana nae nikawa naenda kwenye maombi tuu
Lakini bado sijapona tena nikisali mwili wote unawaka moto nyama za mwili zinatingishika kupita kiasi
Ulizia kwa watu wanaokuzunguka majirani ndugu na jamaa huwezi kukosa connection kwa namna yeyote mkuu, Nakuombea mungu akuponye matatizo yako.Nitapata wapi masheikh wa kweli
Pole.Sijui nikujibu vipi unielewe sio Kama sisali ila nimepatwa na ugonjwa nisiojua tiba yake ndo maana nimekuja kuomba msaada
Halaf kuna ndugu zangu kama watatu walikua wanaumwa lakini sio ugonjwa kama wangu wakaenda kwa sheikh mkoa fulani wakapona kabisa
Lakini sheikh yuleyule mimi alikataa kunitibu sasa sijui wachawi wanawapaga rushwa [emoji24]
Akaanza kuniambia vitu havina uhalisia sijui nikatibiwe makaburini nikaachana nae nikawa naenda kwenye maombi tuu
Lakini bado sijapona tena nikisali mwili wote unawaka moto nyama za mwili zinatingishika kupita kiasi
Vipimo vya Mwili mzima , nenda kafanye CheckupHospital nikafanye kipimo kipi mkuu maana tatizo ni la muda sana huu mwaka karibia wa tano sasa
Aisee so wanataka kumla nyama??Pole.
Hapo washawasiliana ili ufe au uteseke zaidi.
Ukimdadisi huyo sheikh atakuambia ukweli
Kweli wachawi wana mitandao yao mikubwa na wana nguvu kubwa pengine walishamtisha huyo sheikh akaogopa, muhimu aendelee kujihangaikia kwa njia yeyote atapona kwa uwezo wa mungu.Pole.
Hapo washawasiliana ili ufe au uteseke zaidi.
Ukimdadisi huyo sheikh atakuambia ukweli
Aisee so wanataka kumla nyama??
Sababu zinazoweza kuwa zinasababisha tatizo lako...
1. HIV
2. TYPHOID
3. MALARIA
4. MAPEPO/MAJINI.
kwa maneno ya jamaa haiwezi kuwa malaria wala Typhoid wala HIV hapo yatakuwa na hayo mapepo na Uchawi tu maana Tatizo lina miaka mitano, Shida ya hayo mambo ya kichawi huwa yanasababisha na matatizo mengine sasa kama uliyoyataja.Sababu zinazoweza kuwa zinasababisha tatizo lako...
1. HIV
2. TYPHOID
3. MALARIA
4. MAPEPO/MAJINI.
Pole sana,natumaini utapata uponyaji[emoji144]
kwa maneno ya jamaa haiwezi kuwa malaria wala Typhoid wala HIV hapo yatakuwa na hayo mapepo na Uchawi tu maana Tatizo lina miaka mitano, Shida ya hayo mambo ya kichawi huwa yanasababisha na matatizo mengine sasa kama uliyoyataja.
Huo mzunguko mbaya wa damu unasababishwa na nini na tiba ya hospital huwa ni nini au haipo?Mwili kucheza cheza wenyewe ni dalili za mzunguko mbaya wa damu mwilini au mfumo mishipa ya fahamu.
Mfano mdogo kama umewahi kuona mbuzi anachinjwa damu ikitoka unaona nyama zinatikisika zenyewe.
Dalili za kusikia maruwe ruwe ni Moja kwa Moja linahusiana na tatizo hilo la mzunguko mbaya wa damu ambao unaweza kubatana na dalili za ncha za vidole vya mikono au miguu kufa ganzi au miguu kuwa kama inawaka moto.
Nenda hospitali kapime moyo na pressure.Ukiwa na tabia ya kutafuna kitumguu swaumu yaweza kupunguza au dawa za wamasai za kunjwa kwa supu au maziwa
Kama ni hivyo bas kumbuka maisha yako ya nyuma huenda kuna mtu ulimkosea, na huyo mtu hadi leo anakuhangaikia akuharibu! Namaanisha hakukuloga miaka mi5 nyuma akatulia, bali analoga kila siku na anafatilia unaendeleaje, uko kwenye maagano. Pengine ulimkubalia mtu kuwa atakuoa ukaja badilika, jichunguze kwanza. Ama uligombana na mtu flani ugomvi mkubwa.Moja mpaka tatu nimepima sina tatizo labda hiyo namba nne mkuu ndo itakua inanisumbua
Ongeza na Peripheral neuropathy ambalo hospital nyingi husema hawajaona tatizo.Sababu zinazoweza kuwa zinasababisha tatizo lako...
1. HIV
2. TYPHOID
3. MALARIA
4. MAPEPO/MAJINI.
Kama ni hivyo bas kumbuka maisha yako ya nyuma huenda kuna mtu ulimkosea, na huyo mtu hadi leo anakuhangaikia akuharibu! Namaanisha hakukuloga miaka mi5 nyuma akatulia, bali analoga kila siku na anafatilia unaendeleaje, uko kwenye maagano. Pengine ulimkubalia mtu kuwa atakuoa ukaja badilika, jichunguze kwanza. Ama uligombana na mtu flani ugomvi mkubwa.
Mkuu ni kweli, na hili ndo laweza kuwa tatizo alilonalo mleta mada, na huenda kuna vyakula vya viwandani ama nyama za mafuta anapenda kutumia hivyo vinamuongezea tatizo kila kunapokucha.Ongeza na Peripheral neuropathy ambalo hospital nyingi husema hawajaona tatizo.