Mkataba ukiisha mwajiri una hiari ya kumuongezea mkataba au kutomuongezea mkataba mwajiriwa hakuna sheria inayomfunga mwajiriwa kukuongezea mkataba hata Kama wewe ni mgogo kazini.kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa hiyo wewe unaona vyema makampuni ya kigeni kuja na kutunyonya kutufanyisha kazi Kama watumwa??Mkataba ukiisha mwajiri una hiari ya kumuongezea mkataba au kutomuongezea mkataba mwajiriwa hakuna sheria inayomfunga mwajiriwa kukuongezea mkataba hata Kama wewe ni mgogo kazini.
Kwanza huyu jamaa anaonekana mkorofi ingekuwa Mimi ningemlipa stahiki zake zote nikavunja mkataba stakagi usumbufu umeomba kazi vizuri kwa heshima kesho unaanza kuleta kero eti watu wagome
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini amekiuka order halali za serikali kwa kwenda kinyume na alivyoagizwa??Kwa hiyo wewe lengo lako unataka upewe mkataba mpya?
Unajua maana ya mkataba?Mkuu, pamoja na yote mwajiri alipewa barua ya kutopunguza au kufukuza wafanyakazi kutokana kitendo Cha wafanyakazi kudai haki zetu
Kama chanzo ni nyie kufuatilia sheria mkafukuzwa, basi fuatilien tena sheria hukohuko kwa mwanzo mtarudishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka amasemea mwajir alipewa barua asiwafikuze kisa kudai haki zao hapo mazingira yanambana mwajir bora angemwongezea mkataba then ukiisha Ndo amfire
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hapo wachawi wenu ni hao wachache waliowasaliti,mnapodai haki hakikisheni mpo pamoja wote.Ndiyo maana nimekuja kwenu mtupe mwanga
Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Siyo kutunyonya Mimi kila mara nashindwana na wafanyakazi wa Tanzania ni wavivu Sana kuna kazi nafanya Rwanda unamlipa mtu mshahara wa Fra-150,000 sawa 175,000 za Tanzania na ni mtaalamu anajituma kwelikweli.Mkuu kwa hiyo wewe unaona vyema makampuni ya kigeni kuja na kutunyonya kutufanyisha kazi Kama watumwa??
Ok mkuu ahsante kwa ushauriUkiwa private sectors inakubidi uwe mnyenyekevu kweli kweli!
Contract yako imeexpire mkuu huna chako asee!
Hizo stahiki zako zingepata mashiko kama ungekuwa job...
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko right mkuuWewe mbona umeng'ang'ania neno "kufukuzwa"? Unajua tofauti ya kufukuzwa au kuachishwa kazi na mkataba kuisha? Huyu mkataba umeisha, hajafukuzwa. Mwajiri ana haki ya kumuongezea mkataba au kutokumuongezea kutegemeana na mahitaji yake ya wafanyakazi. Kama mkataba umeisha na umelipwa stahiki zako zote, usijisumbue kwa kingine zaidi ya kutafuta kazi nyingine. Angesitisha mkataba au angekufukuza hapo ungekuwa na haki ya kwenda kwenye vyombo vya sheria.
Wenye kujua zaidi watakuelewesha, labda mimi ndo sielewi.
Yaani mmepewa tu barua bila kulipwa skahiki zenu????Heri ya mwaka mpya wadau,!! Mimi na mwenzangu Tumepoteza kazi baada ya kudai haki na stahiki zetu zilizokuwa zinabinywa na mwajiri, baada ya kufatilia sheria zinasemaje katika misingi ya kisheria na mwajiri wetu kuamriwa kurekebisha.
Mwajiri hakufanya hivyo Bali akasubiri mwisho wa mkataba akatupa barua za kumalizika kwa mkataba.
Je, wajuzi wa sheria ni namna gani sheria zinatulinda kwa namna yoyote kupoteza kwetu kazi kwa kudai haki zetu? Naombeni msaada
Kudai stahiki zako ndiyo kuwa mjuaji???Unajitia mjuaji kwenye kampuni ya mtu.. Sasa nenda ukaajiriwe na hiyo sheria iliyokutia ujuaji..!! Ujifunze, next time uwe na adabu..
Mkataba uahaisha kurenew ni matakwa ya mwajir na sio sheria lasivyo akajiliwe mahakamanSwala Sio kampun ya Wat sheria za utumish zinagusa kote kote Huwez mwachisha mt kaz all over suddenly lazma umwandalie stahik zake pia umpe taarifa mapema ili ajiandae wewe wapeleke ulipowapeleka mwazo state vizur
Sent using Jamii Forums mobile app