Mkataba ukiisha mwajiri au mwajiriwa wote wana haki ya kuongeza au kutoongeza. Tofautisha kati ya kuvunja mkataba na kuongezewa mkataba. After all mwajiri gani kiazi ataongeza mkataba kwa mtu mkorofi na msumbufu? Aende CMA wampe msaada na si kupewa mkataba mpyaMmezidi porojo. Mleta mada anaomba msaada wa ushauri kuhusu sheria mnakomalia mkataba. Nyinyi wala vumbi bana!
Bora kubeba boksi tu
Ndg jaribu kuelewa Mwajiri hajapunguza wafanyakazi bali mda ambao alikuwa amewakodi mmfanyie kazi yake umeisha kwahiyo hana kazi tena na nyie.!Na kwenye kupunguza watu si lazima Kuna taratibu kisheria uwa zinatumika?? Kwanini sisi na siyo wengine??
Msaada gani wanaweza Nipa mkuu??Mkataba ukiisha mwajiri au mwajiriwa wote wana haki ya kuongeza au kutoongeza. Tofautisha kati ya kuvunja mkataba na kuongezewa mkataba. After all mwajiri gani kiazi ataongeza mkataba kwa mtu mkorofi na msumbufu? Aende CMA wampe msaada na si kupewa mkataba mpya
Hapo hakuna suala la kisheria sababu amesema mkataba umekwisha na mwajiri ameamua kutomuongezea,sidhan kama kuna Sheria inayomlazimisha muajiri kumpa MTU mkataba,sababu yy ndiye anayelipa mishahara kama bajet yake imeshake mtamsaidia kulipa?? Kama hajaridhika na utendaji wao WA kazi mnamlazimisha Vipi akae nao?? Kinachodetermine MTU kuendelea kukaa kampuni fulani ukiachilia mbali performance pia nidhamu na tabia (attitude),suala la kusema mmempeleka mwajiri wenu kwenye mamlaka husika inaonesha tayari mlishindwa kuelewana ndani,hakuna mwajiri anayependa kukaa na wanaharakati ,hata we nyumbani kwako sidhan kama unaweza kukaa na mke au mtoto mwanaharakati,ukimpiga kiboko anaenda polisi kushtaki umekiuka haki za watoto,cha msingi mjitafakar namna gani mlipaswa kufuata kudai haki zenu in a win win situationUmeonaeeee hata mm Naona Wat hawamsaidii bali wanafurahia watanzania tuna roho mbaya sana yan unafiki umetujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuangalia kama katika mkataba wako wa awali kama kuna kifungu mwajili hakukitekeleza. Ila ushauri wangu, achana naye tafuta kwingine ila iwe fundisho kwako na wengine ambao hamjui kesho itakuwaje. Nikiwa na maana kuwa usiwe kama abunwasi ambaye alikuwa anakata tawi ambalo amekalia.Msaada gani wanaweza Nipa mkuu??
Kama kuna watu (hasa wapo nje ya nchi kama Jon Stephano ) hawajakuelewa hao their head must be examined! Ndiyo maana sie ni wajasiriamali, naye tunamkaribisha hana wito wa kuajiriwa akaendelee na uanaharakati.Hapo hakuna suala la kisheria sababu amesema mkataba umekwisha na mwajiri ameamua kutomuongezea,sidhan kama kuna Sheria inayomlazimisha muajiri kumpa MTU mkataba,sababu yy ndiye anayelipa mishahara kama bajet yake imeshake mtamsaidia kulipa?? Kama hajaridhika na utendaji wao WA kazi mnamlazimisha Vipi akae nao?? Kinachodetermine MTU kuendelea kukaa kampuni fulani ukiachilia mbali performance pia nidhamu na tabia (attitude),suala la kusema mmempeleka mwajiri wenu kwenye mamlaka husika inaonesha tayari mlishindwa kuelewana ndani,hakuna mwajiri anayependa kukaa na wanaharakati ,hata we nyumbani kwako sidhan kama unaweza kukaa na mke au mtoto mwanaharakati,ukimpiga kiboko anaenda polisi kushtaki umekiuka haki za watoto,cha msingi mjitafakar namna gani mlipaswa kufuata kudai haki zenu in a win win situation
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina mkuu!!Ila nyie mnaosema kuwa kaleta ujuaji kama alinyimwa haki yake angenyamaza tu ? Mkuu nakupongeza sana kama kweli ulikuwa unapigania haki yako uliyostahili japo haikuwa na matokea mazuri Who knows Mungu kakuandalia nini mbeleni.
Ifike sehemu kama tunatendewa visivyo tusiogope kusema.Maisha ni vita na hyo ni moja ya vita unaweza kushinda au kushindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kwenye unions kama unemployment unions wanapotetea haki za wafanyakaziMkataba ukiisha mwajiri au mwajiriwa wote wana haki ya kuongeza au kutoongeza. Tofautisha kati ya kuvunja mkataba na kuongezewa mkataba. After all mwajiri gani kiazi ataongeza mkataba kwa mtu mkorofi na msumbufu? Aende CMA wampe msaada na si kupewa mkataba mpya
Kwa hiyo ukirudishwa kazini na serikali kwa nguvu utafanya kazi kwa amani? Kikubwa ulipigania haki kuwakomboa wengine. Hao uliowaacha au wanaofata hapo kazini ndio watanufaika na kile ulichopambania. Upo kwenye kivuli kwa sababu kuna MTU aaliupanda huo mti miaka hyo nawe umepanda mti watatumia kivuli chake wengine. Kikubwa kama una 55yrs pita pale nssf ukaprocess chako. Otherwise subiri FAO LA kutokuwa na ajira.Kwahiyo hata zile order za serikali hazina nguvu yoyote??
Fao la kujitoa wanatoa siku hizi ?Kwa hiyo ukirudishwa kazini na serikali kwa nguvu utafanya kazi kwa amani? Kikubwa ulipigania haki kuwakomboa wengine. Hao uliowaacha au wanaofata hapo kazini ndio watanufaika na kile ulichopambania. Upo kwenye kivuli kwa sababu kuna MTU aaliupanda huo mti miaka hyo nawe umepanda mti watatumia kivuli chake wengine. Kikubwa kama una 55yrs pita pale nssf ukaprocess chako. Otherwise subiri FAO LA kutokuwa na ajira.
Ahsante mkuu kwa ushauriKwa hiyo ukirudishwa kazini na serikali kwa nguvu utafanya kazi kwa amani? Kikubwa ulipigania haki kuwakomboa wengine. Hao uliowaacha au wanaofata hapo kazini ndio watanufaika na kile ulichopambania. Upo kwenye kivuli kwa sababu kuna MTU aaliupanda huo mti miaka hyo nawe umepanda mti watatumia kivuli chake wengine. Kikubwa kama una 55yrs pita pale nssf ukaprocess chako. Otherwise subiri FAO LA kutokuwa na ajira.
Kwa hiyo kwa uelewa wako mkataba sio sheria!!??Acha porojo mkuu. Mleta mada anataka kusaidiwa kuhusu sheria siyo mkataba
Chief nimezungumzia 55yrs na FAO LA KUTOKUWA NA AJIRA. si vinginevyoH
Fao la kujitoa wanatoa siku hizi ?
Nina 10 mill na umri wangu ni under 35 waligoma kunipa
Hugo una point lkn umeitoa ktk hali inayokera mtu /watu/jamiimpelekeni mwajiri wenu mliko dai haki zenu mara ya kwanza simple tu sio kila kitu unauliza uliza tu kama mjinga