Mwambie akuvue yySipendi kuvua nguo
Hahahaa asante mkuu kwa ushauri nimecheka kidogo hapo kwenye sentence za mwisho za kuomba kura sijui itakuwa kwa chama gani ndugu kila laheri.usitoe mimba mkuu mi na ndugu yangu ninae mfatia tumepishana miezi 3, aliacha kunyonya akiwa na miezi 6 tumesoma shule moja toka wadogo. Tupo karibu na tunapenda sana, kishule imetusaidia maana baba alipenda sana kutupambanisha (japo mimi nilikua namzidi mara nyingi), Mungu akitusaidia mwakani tutagraduate chuo. Kipindi nazaliwa mimi baba alikuwa amesimamishwa kazi ila alipambana labda na yeye alishauriwa nitakuja kuwa rais ndo nasubiri kura zenu 2040. kila la kheri mkuu usitoe mimba.
There is nothing wrong with that. By the time mtoto wa pili anazaliwa wa kwanza atakuwa na mwaka mmoja na mwezi... Kwa hiyo wote watakuwa na afya sawa tu na mapacha waliozaliwa pamoja. Watoto wa dizaini hiyo wanaitwa 'mapacha wa nje'...Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Hivi mkuu mimba inaweza kuingia kabla ya menses hazijarudi?Ni bahati nzuri tu mkuu mkeo aendelee kumnyonyesha mtoto kama atapenda. Matatizo yanakuja mtoto mpya anapozaliwa au morning sickness zinapozidi mnasahau kuwa huyu bado ni mtoto na anahitaji mapenzi.
Hata kama mkeo anakuhitaji jitahidi kuwa na muda na dogo hata mwingine akizaliwa
Hivi mkuu mimba inaweza kuingia kabla ya menses hazijarudi?
Naona wengine wanakaa hadi miez 6 bila kupata menstruation after child birth..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi kuvua nguo
Mmh bila periods kurudi? Real?inaingia zvr tu mie iliingia baada ya mwez tu toka njifungue!
Mmh bila periods kurudi? Real?
Sasa hapo si inakuwa vigumu hata kufahamu siku za hatari
Ndio mana mimba zinaingia sana kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye aibu ndio kinacho mtia kihoro, nimemwambia tuishi maishayetu sio maisha ya watu wengine.Msitoe ndugu baraka ndio hizo kila kitu upangwa na Mungu msije mkamuua rais wa baadae kisa aibu ya dunia dhambi hiyo itawaandama mpaka kufa
Usiombe kukutwa na bwana pespi ilishanitokea ole wako uniulize swali eti huyo mtt uliembeba wa nani utajuta kuzaliwaMkuu
ikiingia haipigi hodi. Ikinitokea hiyo nitaimba hallelujah
Asee ni shidabila period mkuu!nililia km mtoto
Mke kajifungua kwa njiagani? Kama kajifungua kawaida haina shida, mwachishe mtoto kunhonha halakasana,mnunulie maziwa ya watoto lishe juis ya matunda chasing mama asiwe mvivu kumpikia wanakuwa vizuli.Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .
Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.
Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakushauri utoe.. Kuhusu madhara ya kutoa kwenye maziwa sijui kwakweli.. Ila ninalojua ni kwamba ukiacha hiyo mimba ikue unaweza kumkosa na huyo wa miezi minne..!Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .
Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.
Please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wengi kunyonyesha pia kunazuia mimba isiingie lakini inategemea frequence za unyonyeshajiHivi mkuu mimba inaweza kuingia kabla ya menses hazijarudi?
Naona wengine wanakaa hadi miez 6 bila kupata menstruation after child birth..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaaaWatu mnapenda sana kutinduana yani dogo ana miezi 4 mmeshakazana mpk mimba