Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

Msitoe ndugu baraka ndio hizo kila kitu upangwa na Mungu msije mkamuua rais wa baadae kisa aibu ya dunia dhambi hiyo itawaandama mpaka kufa
 
usitoe mimba mkuu mi na ndugu yangu ninae mfatia tumepishana miezi 3, aliacha kunyonya akiwa na miezi 6 tumesoma shule moja toka wadogo. Tupo karibu na tunapenda sana, kishule imetusaidia maana baba alipenda sana kutupambanisha (japo mimi nilikua namzidi mara nyingi), Mungu akitusaidia mwakani tutagraduate chuo. Kipindi nazaliwa mimi baba alikuwa amesimamishwa kazi ila alipambana labda na yeye alishauriwa nitakuja kuwa rais ndo nasubiri kura zenu 2040. kila la kheri mkuu usitoe mimba.
Hahahaa asante mkuu kwa ushauri nimecheka kidogo hapo kwenye sentence za mwisho za kuomba kura sijui itakuwa kwa chama gani ndugu kila laheri.

Mimi kwaupande wangu sina tatizo ninaweza kumu handle with care bila shakayoyote, ila yeye ndioana panic mbaka naingia wasiwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
There is nothing wrong with that. By the time mtoto wa pili anazaliwa wa kwanza atakuwa na mwaka mmoja na mwezi... Kwa hiyo wote watakuwa na afya sawa tu na mapacha waliozaliwa pamoja. Watoto wa dizaini hiyo wanaitwa 'mapacha wa nje'...
 
Ni bahati nzuri tu mkuu mkeo aendelee kumnyonyesha mtoto kama atapenda. Matatizo yanakuja mtoto mpya anapozaliwa au morning sickness zinapozidi mnasahau kuwa huyu bado ni mtoto na anahitaji mapenzi.
Hata kama mkeo anakuhitaji jitahidi kuwa na muda na dogo hata mwingine akizaliwa
Hivi mkuu mimba inaweza kuingia kabla ya menses hazijarudi?

Naona wengine wanakaa hadi miez 6 bila kupata menstruation after child birth..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msitoe ndugu baraka ndio hizo kila kitu upangwa na Mungu msije mkamuua rais wa baadae kisa aibu ya dunia dhambi hiyo itawaandama mpaka kufa
Hapo kwenye aibu ndio kinacho mtia kihoro, nimemwambia tuishi maishayetu sio maisha ya watu wengine.
Na anakosa amanikabisa ndiomana nawaza kuflashi maana yupokwenye haliambayo sioyakawaida sijuinimwambie nini, nawaza huenda hiihaliyake inaweza ikamuathiri mtoto au yeye mwenyewe maana asubui anasema anasikia ganzi kwenye mikono sijui imemshtua kiasigani.
Wanawake sijui wana moyo mwepesi kiasigani, miminachukulia kawaidatu.

Najua kutoa nidhambi nahapo nabakinjia panda.
Nitampeleka kwa doctor atushauri pamoja kitugani cha kufanya ilimradi awena amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke kajifungua kwa njiagani? Kama kajifungua kawaida haina shida, mwachishe mtoto kunhonha halakasana,mnunulie maziwa ya watoto lishe juis ya matunda chasing mama asiwe mvivu kumpikia wanakuwa vizuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajuzi nishaurini tafadhali, kama nilivyo eleza hapo juu.
Tunamtoto ana miezi minne sasa lakini kwa bahatimbaya mimba imeingia.
Tulikosea timing ya mzunguko sijui imekuwaje sababu sikutegemea kabisa .

Nawaza ninunue kidonge aflash,je itasaidia?.
Kama ndio je, mtoto hatapata madhara akiendelea kunyonya??.

Please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nakushauri utoe.. Kuhusu madhara ya kutoa kwenye maziwa sijui kwakweli.. Ila ninalojua ni kwamba ukiacha hiyo mimba ikue unaweza kumkosa na huyo wa miezi minne..!
Nenda hospitali kwa ajili ya uhakika wa solution zaidi..! Ila pole na hayo matatizo...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mhmh nyie c wanandoa zaeni tu ila dogo mtakuwa mmenyima space lol 4month
 
Back
Top Bottom