Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

Hizo location zimekaa kizamani sana.

Eti Canteen wakati mabinti wanataka ku slay kwenye mitandao.

Nonsense.
Huyo mdada nature yake sio binti wa mtandaoni wala kupiga picha sehem za kifahari, anapiga picha location za kawaida sana nshamchunguza insta na facebook, infact mara yake ya mwisho kupost insta ni mwaka jana Karucee
 
UmeComment kibingwa sana
Nadhani ni yule mtu ambaye hataki kwenda haraka, nenda nae taratibu usiharakishe kutaka kuonana ila endelea kuwasiliana nae.

Au pia inawezekana ana mtu wake.
 
Hakupendi
Hata mm niliwaza hivi hivi ila alivonipigia simu kwa namba yake ingine ambayo hakunipa mwanzo, na kuongea sauti legevu, it f*cked up my brain.. naweza sema labda ana interest ndogo kwangu, yani mm sio dream man wake Kwahiyo ananichukulia poa bora liende, untill a better man comes in her life.. Numbisa
 
Nadhani ni yule mtu ambaye hataki kwenda haraka, nenda nae taratibu usiharakishe kutaka kuonana ila endelea kuwasiliana nae.

Au pia inawezekana ana mtu wake.
Huyo mdada laiti angejua rohoni kwangu nilivo na nia nzuri naye, kama ana mtu wake kwann anipe mm namba na kuchat na mm, huoni hiyo ni emotional cheating, kama ana mtu wake sidhani kama wako karibu au wako kwenye serious relationship

Au somehow nalinganishwa na wanaume wengine wengi wanaomfuata, hajui achague yupi hahaahaahaha

Pia huyo mdada kwa muonekano namuona kama ana roho nzuri, though sina uhakika, nimem-judge tu kwa nje Demi
 
Hapana..may be anahitaji kukujua zaidi kabla hamjaonana, kuna watu wanapenda chatting zaidi ya kuonana.
Na ukiwa mvumilivu mapenzi kama hayo yanakuwaga matamu sana, ona anavyojibebisha kwenye simu...just go on with the flow.
 
Mm hata sijakuelewa hapa! Naomba nifanyie demo Mimi. Nichatishe na ujibebishe nikuone ndo ntaelewa

Back
Top Bottom