Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

Amekwambia Hanna hela?? Au unafikiri kila kitu Ni hela tu , utakufa
Kuna sehemu nimesema hana hela?
Hata hao matajiri wa Dunia kina Elon Musk na Bill gates wana hela but still wana tafuta hela,
Hela hazina limit,au umekariri kua mtu akiambiwa tafuta hela maana yake ni kua anaambiwa hana hela?
 
Hizo location zimekaa kizamani sana.

Eti Canteen wakati mabinti wanataka ku slay kwenye mitandao.

Nonsense.
Usimfanyie hivyo mdau 😂😂😂 mwambie basi mkutane wapi kama canteen (chips za buku jero) hutaki!! 😆😆😎
 
Kwahiyo ndio ukaona umpeleke canteen ya chuo?
Mkuu mbona hata pale hazina napo (enzi hizo sijui now days) walikua na canteen...Posta house oposite na internal affairs pia wana canteen...what is wrong with canteen ? Sio lazima iwe chuo...au labda sijaona kama jamaa kasema ni mwanachuo? 😂
 
Reactions: Cyb
Kwahiyo ndio ukaona umpeleke canteen ya chuo?
Mkuu mbona hata pale hazina napo (enzi hizo sijui now days) walikua na canteen...Posta house oposite na internal affairs pia wana canteen...what is wrong with canteen ? Sio lazima iwe chuo...au labda sijaona kama jamaa kasema ni mwanachuo? 😂
 

Mpotezee kwa wiki kama mbili hivi. Usimtumie ujumbe wala usipige simu. Akikucheki kulalamika au kuhoji mwambie umetingwa kidogo ikiwezekana umesafiri kikazi.

If you are too much available, you become too cheap and desperate. Cheza kama wewe. Utashangaa matokeo.
 
Kiukwel siku hiiz nilishaacha mambo haya ya kuombana ombana namba za cm..
Mkuu we achana nae tu masaa 24 ni machache sanaq..upige mishe utafute michongo bado hujapumzika...sasa hayo mambo ya ku meet lazima yawe magum tuu...uzur nina uhakika nikirud home kimoko changu kiko pale pale ...sasa kama huna koloni la kudumu utapata tabu sana
 
Ndio shida ya kutongoza demu mmoja


Mimi kila wiki mnadani lazima niokote angalau namba kama tatu so unaweza kuta kila week probability ya kula papuchi mbili sikosi
 
Huyo mdada nature yake sio binti wa mtandaoni wala kupiga picha sehem za kifahari, anapiga picha location za kawaida sana nshamchunguza insta na facebook, infact mara yake ya mwisho kupost insta ni mwaka jana Karucee
Kwa hiyo canteen unaenda kumlisha tumaandazi na soda au?
 
NOTE: Uzuri wake hajawahi kuniomba hela tangu nimechukua namba yake, lasivyo ningekuwa nshamkimbia Evelyn Salt
hapo unapopaona penye uzuri wake hapo ndio penye kasoro yako sasa.....

mwanamke kaishakukubali Ila sasa wewe haujiongezi haumpi reason ajiweke mazima, babuuu jiongeze!!!
 
hapo unapopaona penye uzuri wake hapo ndio penye kasoro yako sasa.....

mwanamke kaishakukubali Ila sasa wewe haujiongezi haumpi reason ajiweke mazima, babuuu jiongeze!!!
Hahaa nijiongeze kivipi kwa mfano, unamaanisha nimpe hela au, kama ni hela nimpe tshs ngapi, ebu fafanua Evelyn Salt
 
Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii

Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane
Subiri akue akikuwa ataacha utoto😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…