Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

Ralax mkuu,
wakati wako kua nae haujafika bado.
Kuna mtu au vitu vinamkeep busy Kama ulivyoambiwa.
Yaani kiufupi Umewekwa "pending zone".

Kama kweli unampenda, usipige chini.
Nenda nae hivyo hivyo anavyotaka, uku ukisubiri azinguane na uyo alienae Sasa ili uchukue nafasi

HII NDIO LOVE CYCLE[emoji4]
 
mtumie mtoto meseji kuwa mtoke dinner, uchague sehemu nzuri....kantini pa kazi gani aseee
Haitasaidia, kama sehemu ya kula ni jirani na anapofanyia kazi lakini anasema yuko busy, hiyo sehem nzuri iliyo mbali ndo ataenda, ngoja nijaribu

NB: Naweza mpeleka dinner Hyatt regency, Akemi, KFC, Turkish restaurant, na bado nikaonekana fala tu nisipewe mzigo..kwa mdada mwenye akili anaejielewa ataona nafeki maisha ili tu nimu-impress,

Kama hana hisia na mm, Ni sawa na umvishe sokwe suti, haitabadilisha choc, migahawa expensive haitamfanya anipende..
Evelyn Salt
 
yupo mkoa gani na sehemu gani?na mimi ninaye kama huyu yupo hapa dar
 
Boss, Ulitaka nimpeleke wapi, ulitaka Nimkatie tiketi ya ndege nimpeleke Hyatt regency au serena au, ili niji-prove nini kwa mfano Karucee
Jaribu kubadilisha venue ya mualiko wako.

Then urudi hapa.
 
ndio shida yenu wakulungwa, kuambiwa sehemu nzuri ushawaza Hyatt regency...
sehemu ya kula karibu na kazi ili iweje????
we muite mbali weekend na ZINGATIA usioneshe una hitaji sana una kiu sana na mbususu.
 
Wacha kupoteza muda, temana nae... "Mark my words"
 
Hata umpate mtaachana tu
 
Nadhani ni yule mtu ambaye hataki kwenda haraka, nenda nae taratibu usiharakishe kutaka kuonana ila endelea kuwasiliana nae.

Au pia inawezekana ana mtu wake.
Tuseme ana mtu wake na wana uhusiano serious, sasa mimi kanipa namba ya nini Demi
 
Hapana..may be anahitaji kukujua zaidi kabla hamjaonana, kuna watu wanapenda chatting zaidi ya kuonana.
Na ukiwa mvumilivu mapenzi kama hayo yanakuwaga matamu sana, ona anavyojibebisha kwenye simu...just go on with the flow.

Kweli kabisa
 



Sahihi kabisa!

Umenena vyema kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…