Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

Msaada tutani: Nimekuta hivi vidonge kwenye mkoba wa dem wangu. Je, vina kazi gan?

Msipende kutuchokonolea mikoba yetu. Mtakuta makubwa mshindwe kuyahimili!!
Mbona hujanitakia heri ya mwaka mpya? Vibaya hivyo...

Jamaa yangu alikuwa na tabia hiyo ya kijinga mpaka siku alipokutana na bonge la dildo kwenye pochi. Ndo akajua kumbe ana kibamia na gemu haliwezi.

Sasa waache waendelee kupekua maana nasikia siku hizi dildo zimekuwa cha mtoto mbele ya chupa ya mirinda
 
Halafu utasikia baadaye,mtumishi niombee mimi nina tatizo sipati mimba...
 
Mbona hujanitakia heri ya mwaka mpya? Vibaya hivyo...

Jamaa yangu alikuwa na tabia hiyo ya kijinga mpaka siku alipokutana na bonge la dildo kwenye pochi. Ndo akajua kumbe ana kibamia na gemu haliwezi.

Sasa waache waendelee kupekua maana nasikia siku hizi dildo zimekuwa cha mtoto mbele ya chupa ya mirinda
Mnh...,.hayo tena ya dildo??!!
Heri ya mwaka mpya mwaya....
 
Mnh...,.hayo tena ya dildo??!!
Heri ya mwaka mpya mwaya....
Ndio dawa ya kuzuia kupekuana. Kuna jamaa wife alikuwa anamsachi sana kwenye wallet yake. Kila akamuuliza anabisha. Mabaharia tukampa maujanja akaweka condom moja... ndani ya kasha, akaisokomeza kwemye wallet.... Kwamba mbili zimeshatumika....

Kilichotokea baraza la usuluhishi na madaktari wabobezi ndio tulisaidia kuweka mambo ya kijamii na kitabibu yarudie katika hali ya kawaida
 
Dawa hii hutumika kuzuia vidonda , hasa kama uko katika hatari ya kupata vidonda au una historia ya vidonda.

Misoprostol husaidia kupunguza hatari yako ya kupata matatizo makubwa ya kidonda kama vile kutokwa na damu. Dawa hii hulinda utando wa tumbo lako kwa kupunguza kiwango cha asidi inayoigusa. (HAYA NI MATUMIZI MAZURI)

KUNA HAYA PIA
Dawa hii pia hutumiwa pamoja na dawa nyingine (mifepristone) kumaliza mimba (kutoa mimba).

Ulimwenguni, mamilioni ya wajawazito wamemaliza mimba zao kwa usalama kwa kutumia misoprostol.
Mara nyingi inauzwa katika maduka ya dawa, misoprostol ni ya bei nafuu, ni rahisi kuhifadhi na kushughulikia, na ni njia salama kwa watu wanaotaka kumaliza ujauzito wao. Dawa hiyo hulainisha na kutanua seviksi, husababisha mikazo ya uterasi, na kusukuma tishu za ujauzito nje.

MUULIZE KWANZA MKUU ASIJE AKAMLOGA mangyi kwa kumvurugia mapenzi.

UGOMVI MWEMA MKUU UNAPOUANZA MWAKA 2022
 
Ndio dawa ya kuzuia kupekuana. Kuna jamaa wife alikuwa anamsachi sana kwenye wallet yake. Kila akamuuliza anabisha. Mabaharia tukampa maujanja akaweka condom moja... ndani ya kasha, akaisokomeza kwemye wallet.... Kwamba mbili zimeshatumika....

Kilichotokea baraza la usuluhishi na madaktari wabobezi ndio tulisaidia kuweka mambo ya kijamii na kitabibu yarudie katika hali ya kawaida
Uchochezi....
 
This medication is used to prevent stomach ulcers while you take NSAIDs (e.g., aspirin, ibuprofen, naproxen), especially if you are at risk for developing ulcers or have a history of ulcers. Misoprostol helps to decrease your risk of serious ulcer complications such as bleeding. This medication protects your stomach lining by lowering the amount of acid that comes in contact with it.This medication is also used in combination with another drug (mifepristone) to end a pregnancy
Shika hiki mleta mada
 
Za kutoa mimba. Usiogope.
Mh

IMG_20211029_105959.jpg
 
Back
Top Bottom