Halafu unasikia tupo Uchumi wa kati na Raia kama hawa.
Hii nchi ndio maana hatuendelei sasa mtu unakutana na kitu hata kujiongeza kwenye google huko hajui
Simlaumu huyu jamaa. Tatizo ni mtaala wetu hautufundishi namna ya kutafuta taarifa au maarifa fulani
Sisi kila kitu ni kuuliza hata kama gadgets za kupata taarifa mtu anazo