Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?


Hahahaha nyama ziko chini[emoji23][emoji23][emoji23]...sister your damn right.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mamiloo nimekupata exactly!
 
Mkuu dah, aisee. Ni ngumu kukushauri lakini jua kila lenye mwanzo lina mwisho wake. Shukuru kuwa limefima mwisho mwema, for six years hata wife hajahisi! Mmh. Hilo limepita. Muache kabisa na namba futa. Hata ushauri usiombe.

Sawa mkuu! Shukrani kwa ushauri.
 
Dada angu nashukuru ila siwezi simulia humu(it is a small world na inahusisha watoto wangu pia,i have hurt them enough siwez endelea waumiza hata kama hawajui kama kuna JF).Mi sio malaika,nilishakosea sana hususan ukaribu na ex's baad ya ndoa,nikaumiza hisia za watu innocent sana,mara nyingine nikikaa peke yangu najisikia hukumu sana sababu ya mahusiano yangu ya nyuma.
Ukiweza kimbia zinaa kimbia sanaaaaaa,sanaa yaani.Dhambi tamu yenye matokeo machungu always.
nb:sijawaweza kuwa mtakatifu sana ila am still working on my frailties
 
Nashukuru hata kwa kidogo ulichoamua kushare na mimi; ni heshima kwangu. Ujue hakuna mtu mwenye immune ya kutokutenda dhambi; tunatenda dhambi lakini pia hadi ufikie hatua kwamba unakosea na concious yako au nafsi yako inaumia; aisee ni hatua nzuri kwa binadamu. Hakuna malaika, bali kuna watu ambao kila siku wanajitahidi kuutengeneza na kuuboresha utu wao wa ndani; we are all a work on progress. Mpaka hapo ulipofikia una kila sababu ya kumshukuru Mungu. Omba rehema mpaka utakaposikia amani nafsini mwako, hadi utakapoweza kuona unaacha kujihukumu. Tunafundishwa kusamehe, lakini tunatakiwa kujisamehe na sisi wenyewe pia kwanza; jisamehe please kwa sababu hata Mungu alishakusamehe. Nakuachia Zaburi 51

 
Mkuu naomba nisaidie namba yake tafadhali, nitumie namba yake nimedindisha hapa
 
Futa namba yake ya simu na badili Line ya simu, rudi tu kapambane na mkeo hakuna namna.
Mkuu unamshauri vibaya, kama huyo mke wa mtu ndiyo furaha kwake,basi muache aitafute, furaha huwa inatafutwa kwa nguvu zote, ikiwezekana apambane kwa nguvu zote na avunje ndoa ya huyo mtu ili aendelee kupata furaha ya kudumu, maisha haya ni mafupi na unahitaji kufanya kila linalowezekana kupata furaha ya maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapi mama mlezi? Umenena haswaaaah
 
Ngoja siku nayy mkewe afunguke hapa ndio atajua hajui...anaweza kulia machozi mekundu huyu...lol
 
Kaka Mungu akubariki. Yani hatua ya kuacha dhambi ni kuichukia hyo dhambi. Yani naona heshima unayoipanfamilia yako kwa kwel. Lait wanaume na wanawake wakapata hofu ya Mungu nakuikimbia zinaa kwani chanzo cha matatizo mengi mno ndani ya nyumb. Kwa kweli nakupa salut kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…