MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Sasa kwann ulimuoa kwan hizo piss Kali hukuziona wakati unaoa huyu ambae hana maajabu!!! Achen dharau jmn ndo nyie mnawatenda vibaya wake zenu ikifika utu uzima hakujal wala hakuthamin bize na watt wake kaz kwenda kuwatenbelea watt na watt wanamgombania unabak kusema watt na mke lao moja wamekutelekeza kumbe unalipa coz wakat unamfanyia mama yao vibweka na dhihaka kwamba hana mvuto, maajabu mjinga nk watt walikua wanaona!!!
Na si ajabu mkeo alikshakustukia mda tuu unajifarji kwamba hajui na hakuwah wakamata na ndo maana hata Pesa yk ulikua huiyon ht kwenye shda coz alijua yupo anaekupiga taff na kuchukua nafac yke ss ya nn upate huku na huku!!!alikua anawaangalia mwendo wenu tuu na mpk ss anakuangalia tuuu usifikie ni mjinga na punguan kiasi hiko!!! Believe me o nat mkuu mwanamke si wa kumchulia poa hata siku moja
Basi ndiyo maana, kama hukuwa unamhitaji wewe ungemwacha kimya kimya bila kumshirikisha ili ionekane yeye sio sababu, hapo alijiuliza na kujipa jawabu, siku akimpata mwingine ampendaye zaidi yangu nami nitaachwa vile vile, bora kumwaga mboga haa haa haa, ila pole sana.Alinizuia yeye! Alisema haitaleta picha nzuri.
Hilo huwa wanajifanya wamelisahau na kukumbuka walipoSasa kwann ulimuoa kwan hizo piss Kali hukuziona wakati unaoa huyu ambae hana maajabu!!! Achen dharau jmn ndo nyie mnawatenda vibaya wake zenu ikifika utu uzima hakujal wala hakuthamin bize na watt wake kaz kwenda kuwatenbelea watt na watt wanamgombania unabak kusema watt na mke lao moja wamekutelekeza kumbe unalipa coz wakat unamfanyia mama yao vibweka na dhihaka kwamba hana mvuto, maajabu mjinga nk watt walikua wanaona!!!
Hajui mwanamke akiamua hua anapiga tukio moja utasikia tu matangazo, tayari kumepambazukaNa si ajabu mkeo alikshakustukia mda tuu unajifarji kwamba hajui na hakuwah wakamata na ndo maana hata Pesa yk ulikua huiyon ht kwenye shda coz alijua yupo anaekupiga taff na kuchukua nafac yke ss ya nn upate huku na huku!!!alikua anawaangalia mwendo wenu tuu na mpk ss anakuangalia tuuu usifikie ni mjinga na punguan kiasi hiko!!! Believe me o nat mkuu mwanamke si wa kumchulia poa hata siku moja
Mkuu sasa si ungeoa tu na huyo wakawa wawiliNashukuru kwa ukumbusho! Wadada wengi najua wataattack hili its nature ila kbl ya kuattack wangejifunza kitu.
Hajui mwanamke akiamua hua anapiga tukio moja utasikia tu matangazo, tayari kumepambazuka
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mkuu sasa si ungeoa tu na huyo wakawa wawili
Hivi bado uko na wasiwasi na hii issue?Chief ni hizi dini zetu acha tu.
Gharama zilinishinda Kwa kuwa niliyumba kimipango ikanibidi nimwache aende
Nalog off
Hivi bado uko na wasiwasi na hii issue?
We naeeee!
Si nimekwambia muache muache kidogo mambo yatakuwa tu sawa after sometime.
Concentrate na vitu vingine sa hiz.
Niamini mimi, the girl hamjaachana.
Anataka tu kutumika kitubio alichofanya kabla ya ndoa.
Ni swala la muda tu.
You just keep the good work, kimbiza fedha, relax, have your own time , take a good shower, nukia kiume, smart looking kila siku.
Imeisha hiyo.
Kuna michepuko mingine vichomi tuu,,,yaani mchepuko unapima hadi kiasi cha sperm na kutoa shutuma kuwa umeuza gemu kwingine.Ana sahau kuwa yeye ni side chick,halafu hapo hapo unakuta yeye ni mke na mama wa watoto kadhaa.Kwenye kuomba hela sasa ndiyo shida ilipoanzia (yaani mchepuko huo haukutaka kusikia habari ya kuwa kuna mchongo nausikilizia).Nilianza kujinasua taratiiibu akiomba laki natoa 25k, nasema mchongo ukitiki napunguza,,,mwishowe akala vitasa rasmi.Mpaka sasa ni mwaka sijawasiliana naye block imetembea kwenye platform zote.
Somebody else's wife! You're defeated now, you need to surrender and forget!Yaan hata hapa naandika neno mchepuko ili niweze kueleweka na kutofautisha ila jina la mchepuko sio jina lake kabisaa...she is a my other woman who helped and loved me a lot.
Somebody else's wife! You're defeated now, you need to surrender and forget!
Aah msasha dhekana na mburasi sa vandu[emoji23][emoji23]Tbh, I am fucking defeated I agree!
Aah msasha dhekana na mburasi sa vandu[emoji23][emoji23]