Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kwa kweli huku ukifika mnachojoana tu, wakati ukirudi nyumbani unafikia majukumu. Na maisha yetu ndiyo hayo ya majukumu, na maisha yanaenda fresh tu tunamshukuru Mungu
Wakati calculation za ndani zikianza za kodi, kujenga, ada, maradhi na mambo mengine mengi hata hizo raha anazozipata hazitakuepo sema mnaamua kukubali maisha na mwenzao na siku zinaenda huku mkikabli majukumu hayo
 

Asante kwa ushauri dada...ntajitahidi nifanye hivyo!
 

Asante mkuu nitajitahidi kufanya hivyo!
 
Ninadhani God Fearing ina maana pana sana. Ninapendekeza twende na mtazamo wake wa God Fearing.

Bwana Blessed ww umenielewa kwa kina sana...kua God fearing sio km hutendi dhambi yyt ila hata maisha yako nje ya mahusiano unakua na hofu ya Mungu tu yaani.
 

Nadhani kwa hili mkuu uko sahihi time heals..nadhani with time everything is going to be alright nikiforce naweza kufa aisee!
 
Tatizo linakuja pale kila mtu anataka kuwa mkamilifu. Mungu ni mwema na amekaa Neema tele. Tusiache kumtegemea kwasababu sisi ni wadhambi.

Hakuna mkamilifu kwake yy! Na ndio maana tukawekewa tona na msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…