Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

Kwa kweli huku ukifika mnachojoana tu, wakati ukirudi nyumbani unafikia majukumu. Na maisha yetu ndiyo hayo ya majukumu, na maisha yanaenda fresh tu tunamshukuru Mungu
Wakati calculation za ndani zikianza za kodi, kujenga, ada, maradhi na mambo mengine mengi hata hizo raha anazozipata hazitakuepo sema mnaamua kukubali maisha na mwenzao na siku zinaenda huku mkikabli majukumu hayo
 
A scab never heal if you keep picking at it. Acha kuwasiliana nae na pia kwepa kukutana nae.

Kuna ugumu sana katika kufanya hivyo na utamkumbuka sana, na utahuzunika sana, ila ukiwa unajikumbusha ni kwanini hauwezi kuwa nae itakuwa ni rahisi.

Pole sana OP.

Asante kwa ushauri dada...ntajitahidi nifanye hivyo!
 
Punguza mawasiliano na mwisho wake yakate kabisa. Jaribu kuangalia ndoa yako nini kimekuweka na mke wako mpaka leo, wapi unaweza kuboresha..mke ana nafasi kubwa katika maisha yako, kama haziivi kabisa mchepuko ni a temporary solution to a long term problem

Asante mkuu nitajitahidi kufanya hivyo!
 
Ninadhani God Fearing ina maana pana sana. Ninapendekeza twende na mtazamo wake wa God Fearing.

Bwana Blessed ww umenielewa kwa kina sana...kua God fearing sio km hutendi dhambi yyt ila hata maisha yako nje ya mahusiano unakua na hofu ya Mungu tu yaani.
 
Wako wengi kwenye ndoa na hawapendani. What I see is really mlipendana ndio maana iko hivyo. Ukishampenda mtu kumuondoa moyoni sio kazi rahisi. Endelea kumpenda na kumheshimu. Usi-deny kumpenda. Endelea kujifunza dhana ya love may sometime entail letting go. Cherish good memories mlikuwa nazo pamoja. Mengine yaache yatafanywa na muda.

Nadhani kwa hili mkuu uko sahihi time heals..nadhani with time everything is going to be alright nikiforce naweza kufa aisee!
 
Tatizo linakuja pale kila mtu anataka kuwa mkamilifu. Mungu ni mwema na amekaa Neema tele. Tusiache kumtegemea kwasababu sisi ni wadhambi.

Hakuna mkamilifu kwake yy! Na ndio maana tukawekewa tona na msamaha.
 
Back
Top Bottom