RomboMoshi
Senior Member
- May 17, 2021
- 188
- 228
- Thread starter
-
- #61
Mzee baba ulidata huna budi kuruhusu uponyaji. Kwa maelezo yako inaonesha huyo binti ni mzuri sana
Pole sana, punguza mawasiliano naye
Na mimi ndiyo nashangaa!
What's the definition of God fearing?
Achana na definition, unakumbushwa hata Daud alikuwa God fearing King bila kumsahau Suleiman na michepuko yake
Chuma tu ndio huliwa na kutu mkuu ila cha mtu lazima kiliwe na mtu so sioni sababu ya wewe kuacha
Kikubwa usiri tu achana na roho mbaya ya kukunyima furaha inayokwambia muache kemea hilo pepo kabisa
Chief ungeoa tu maana uneidhulumu nafsi yako hapo.
Futa namba yake ya simu na badili Line ya simu, rudi tu kapambane na mkeo hakuna namna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah....eti huko kwangu ni Afghanistan mabomu daily....[emoji23][emoji23][emoji23]...inaitwa gusa ! unase.....mkeo mna watoto tayari??
yaani nakuona unatamani mkeo achepuke umfumanie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....ila elewa keshaolewa na ni MUKE YA MANGI........yaheshimu marinda yako....
Mangi ushalishwq kisusio cha limbwata hapa
Mangi wa Rombo ebu Leta namba ya binti tumvuruge aachike uendelee kujilia hahahahaha eti siku Zote hizo hujampa Hata mimba mburaaaaaaa
Kwahiyo mkeo sio mtamu mkuu.. yaani hanogi tuu hata kwa kulumangia.!??
sidhani kama ni upendo bali ni lust
ah ah mangi ukute hata mke wake hajampachika mimba...shida sana huyu jamaa
Nimecheka tu hapo ulipo sema kwamba (maana huko kwangu ni Afghanistan kila siku ni mabomu yanalipuka)[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, pole sana mkuu....
Hilo nalo litapita, kikubwa jifundishe kumpenda na kumvumilia mkeo
Ukitaka kumsahau first you must go through hell (kata mawasiliano), ukitoka hapo umepona.
Mpelekee moto na huyo akulelee mwanao..kitanda hakijawahi beba haramuNina watoto wawili chief.
Msimulie waifu,utapata solution ya kumsahau! U'll thank me later
Sijui kwanini namuonea huruma Bwana harusi kuliko wewe.