Atukuzwe Mungu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 210
- 280
- Thread starter
-
- #21
Asante ndugu, ni Uzi gani huo? Naomba unisaidie kuu-tagKuna uzi wa siku kadhaa nyuma
Mwanaume kafanya mazoezi ya kutembea.. Jinsi ya kutembea na umbali.. Tafuta uzi humu.. Labda njia hii itakusaodia kama haujajiharibu na mengi uliyo fanya tayari kutibiwa.. Kila la kheri
Basi relax ..cha kuhofia namnahiy ni nin?Hapana, yupo normal tu
Changamoto ni kuwa nasimamisha kwa shida maana hisia Sina. Hospital wamesema Nina low testosteroneBasi relax ..cha kuhofia namnahiy ni nin?
Pole.Changamoto ni kuwa nasimamisha kwa shida maana hisia Sina. Hospital wamesema Nina low testosterone
Pengine siwezi kujua, hilo zoezi likoje mkuu?Labda kuna mahali ulipita sio ukamuumiza mrembo mmoja akasema tutaona...kuna jamaaa juzijuzi hapa alisema zoezi la kutembea harakaharaka kwa masaa mawili sijui matatu lilimsaidia jaribu na hiyo.
Asante tuombeanePole.
Utapona...tafta tiba
Asante ndugu, ni Uzi gani huo? Naomba unisaidie kuu-tag
Wakakuroga au sioHapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana
Maisha bila tendo yafaa niniBasi relax ..cha kuhofia namnahiy ni nin?
Imebidi nikusechie maana Nilijua kichwa cha uzi hautajua ina hii topicAsante ndugu, ni Uzi gani huo? Naomba unisaidie kuu-tag
Samahani una umri gani? Na hiyo hali chanzo chake ni kipi either ulikua unapiga puri (Nyeto) au ulishawai tumia Viagra naomba majibu juu ya hayo yawezekana nikakusaidia kwa namna flani.Hapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana
Mkuu utapona buree KBS njoo inboxHapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana
Poor Brain hawa watu wana vita kali na nyeto mkuu sijui imewakosea nini.Naomba niulize je ulikua unajichua???
Kula vyakula vya kujenga mwili fanya mazoez Kwa sanaa punguza mawazo
[emoji847] Ukiwa na mwanamke faragha hakikisha unazifuta shahawa zako vizur wanawake niwashenzi sana [emoji134]