Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Hapa namba 2 sijakuelewa vizuri mkuu, hapa namba 6 Wala ata sipo kabisa na hayo mengine ni kama vile nimeyaishi sana kipindi napatwa na hili tatizo.
Mkuu kwamba nisile ugali kabisa? Au sijaelewa? Naomba mfano wako mchana Nile Nini na usiku Nile Nini?
 
Sio tatizo bos wangu kama utaniamin naa utakua na elf 20 tu nakutumia tiba kwa whats app0712505049 leo kesho nguvu zinaanza kurud formula ni maelekezo ya kujitibu kwa matunda manne ndiz karot parachichi na karot na zoez la chumban pia kuna formula ya maji ya uvugu vugu njoo whats app nikutumie shuuda za watu niliowatibu na nina page yangu instagram kuna shuuda nying 0712505049
 

Attachments

  • Screenshot_20250407-231452_Instagram.png
    912.1 KB · Views: 34
Mkuu hizo kilo ni nyingi punguza Uzito,Kula vizuri achana na vyakula vya kisasa,kula mboga majani,chai ya Tangawizi,kunywa maji mengi,Tafuna karanga mbichi,chemsha mayai ya kienyeji,Anza mazoezi ya kutembea kwa mguu angalau 10Km kwa Siku....
Pata muda mwingi wa kulala pia,acha kusex kwa sasa kwa muda kidogo.Usiangalie pono,punguza pombe kama huwa wanywa...
 
Hapana mkuu, natamani if possible nifanye pia mkuu maana Kuna wakati nakosa majibu na chanzo cha tatizo langu kabisa.
 
Asante kwa ushauri mkuu, kutembea au kukimbia mkuu? Hivyo vingine situmii eg pombe, sugar, porn,
 
Ushawahi kuwa memba wa chaputa
 
Dah!
Ina maana mkuu Wewe Hata pisi ikikaa uchi hustuki kabisa au kuwaza chochote kabisa?
 
Mkuu sina elimu yoyote ya afya wala tiba mbadala ila ninauzoefu wa kuutumia mwili wangu Kufanya research mbalimbali za haya mambo kwani nilishapigwaga heartbreak fulani nikakosaga hamu ya tendo completely ikanilazimu kujifufua.

Ntaeleza kwa ufupi.
KWANZA, jua vyakula gani vinakupa uhai wa kiume na vipi vinazidi kukuua uwezo hata huo mdogo ulionao. Jitahidi sana ule vyakula vyenye plotoni visivyopikwa na mafuta mengi yani tumia mafuta kidogo sana, katika ratiba yako ya mlo toa vyakula vya wanga, najua ni ngumu ila punguza kwa kiasi kikubwa walau kwa muda fulani.

Jitahidi sana kunywa maji na juice natural, epuka vilevi vya aina yoyote ile na zuia matumizi yako ya vyakula au vimiminika vya kusindika yaani juice na soda za kiwandani usitumie kwa muda fulani. Lakini pia tumia mboga za majani zaidi ya awali katika mlo wako kadiri utavyoweza atakama ni mara 3 kwa siku.

MUHIMU:ZINGATIA MATUNDA, hapa ndo ipo siri kubwa sana mkuu ukitaka kupata nafuu mapema basi jua matunda yapi ni muhimu, NDIZI na PARACHICHI haviaswi wewe kutokula siku nzima, jitahidi sana ule hivi vitu walau kipande katika msosi wako mkuu wengi hushauri MATIKITI pia ila hvyo viwili ninaushahidi navyo pengine kwakuwa sikuwa na uwezo wa ku afford most effective recommended stuffs.

Lakini pia jitahidi sanasana kutumia chai ya tangawizi kuliko majani ya chai, tangawizi ni best of all mkuu, ukiamka asubuhi anza na kula punje zisizozidi 6 za kitunguu swaumu zilizo katwakatwa umezee maji vuguvugu fanya hvyo asubuhi alfajiri, then piga push ups zako kulingana na uwezo wako na umri, then squats ata 20 walau wiki mfululizo.

Wakati unafanya haya usikutane na mwanamke mkuu walau wiki mbili au tatu ili virutubisho vi update mwili wako , pia usijichue wala kutizama video za wakubwa ili akili yako ikae sawa.

Fanya hivi mara kadhaa mkuu itakusaidia sana kurejesha hali ya kivita kwa askari na ukianza kusimama walau ukaridhika basi nakushauri
 
Dah! Nme type nusu saa na comment imekuja nusu..nina ushauri mwingi sana ila kifaa changu majanga sana, tuishi umi 😢😢😢
 
Napenda mwanaume dizain hii aise..jikubali..labda mkeo ana high libido!
Wakati sisi wengine tunakimbiwa tunaambiwa tunakamia gemu mtu yupo kifuani dakika 90 kitu 0-0 mpaka dakika za nyongeza ndio linaingia, utasikia unakamia sana unachelewa kukojoa
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri, nimekuelewa na nitafanya hivyo. Umesema niachane na wanga kabisa, swali langu nikiachana na wanga ni chakula gani ntakula mkuu? Nikiachana na ugali na wali?
 
Pole sana mkuu sasa fanya iv Usipo pona njoo hapa kuniuliza, Chukua hii formula. Chukua ndizi mbivu moja, karoti mbili, parachichi moja, na Tikiti yale ya kienyeji achana na haya ya kisasa! Kula kwa pamoja Matunda haya Asubuhi na jioni kila siku kwa muda wa mwezi mmoja mfululizo ila tikiti unatakiwa ule mpka ganda lake lile la kijan na mbegu zake yan usibakishe kitu. Fanya iv asubuhi na jion kwa mwezi mmoja pia fanya na mazoezi ya kukimbia kila siku jion Alafu njoo ulete mrejesho Hapa!
 
Asante ndugu yangu kwa ushauri, nimekuelewa na nitafanya hivyo. Umesema niachane na wanga kabisa, swali langu nikiachana na wanga ni chakula gani ntakula mkuu? Nikiachana na ugali na wali?
Mwili wa binadamu ubahitaji wanga pia mkuu ila isiwe ni sehemu kubwa saaana, tumia kiasi kidogo na ongeza virutubisho vingine km vitamini zaidi, mfano unakula ugali size ya bakuli ndogo pembeni una nyama labda ya wingi wastan,mboga za majani na ukimaliza unapata tunda then after km half an hour unakunywa maji yakutosha inakuwa best sana. Tumia wanga ila kwa kiasi kidogo na mafuta tumia kidogo pia .pia epuka vyakula vya haraka (fast foods) badala yake tumia vyakula natural vilivyopikwa vizuri.

Pia acha matumizi makubwa ya sukari mkuu iwe kweny chai au vinywaji vyote vyenye sukari km juice za kiwandani na soda acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…