Senseless!Ili ufike mapema zaidi, epuka kupanda magari yanayopitia mwanza, yanachelewa zaidi.
In this case, magari ya Kampuni ya Kapricon ndo yanapita route hii na yanafika mapema zaidi kule. So wewe utakubali kulala Musoma ili kukicha ndo uende huko butiama kwa kutokea musoma, maana usiku huo ukiteremkia njiani, hutapata usafiri wa kwenda butiama.
Atafute magari yanayofika haraka halafu unamwambia atatakiwa kulala stendi mpaka asubuhi yake, sasa maharaka ya njiani ya nini? Jifunze logic!