Upo sahihi ila kwa aliye na hali ngumu hapo anahitaji muhimu zaidi For me na hiki tenaendea Ramadha For Muslims Mchele tu na gadgets zitazoweza pika uwo mchele, ukiwa na hali mzuri uta extend hata pizza, Cheese utaweka ndani.Mchele
Unga
Choroko
Karanga
Maharage
Sukari
Mkaa (Gunia)
Gas (mtungi)
Maji ya kunywa
Luku
Mafuta taa
Akiba ya fedha
Dawa za 1st Aid
Daaah jina lako tuu mimi na Mkuyenge wangu hoi bin taabani.Habari wakuu,
Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.
Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.
Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.
Natanguliza shukrani,
Mimtamu
@MimtamuHabari wakuu,

Uzi mtamu kama we mwenyewe ulivyo na radha tamu....asantee.Habari wakuu,
Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.
Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.
Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.
Natanguliza shukrani,
Mimtamu
Boss nipo jamaniHii ID sijaiona mda
Umeongea kwa ufupi Sana'a toa surprise ya voice note
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi ila kwa aliye na hali ngumu hapo anahitaji muhimu zaidi For me na hiki tenaendea Ramadha For Muslims Mchele tu na gadgets zitazoweza pika uwo mchele, ukiwa na hali mzuri uta extend hata pizza, Cheese utaweka ndani.
Nimepata darasa hapo kwenye nyanya, niliwaza kuhusu kuharibika. Asante sana shoga.Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.
Kitu gani umeandika hapa?..Ninewaza tunaoishi kwa leo mupe kesho muruke haya manyama sijui marage sijui nini tutaweza ndio maana kolona hainipati..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.