Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

Mimtamu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
368
Reaction score
105
Habari wakuu,

Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.

Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.

Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.

Natanguliza shukrani,
Mimtamu
 
Mchele
Unga
Choroko
Karanga
Maharage
Sukari
Mkaa (Gunia)
Gas (mtungi)
Maji ya kunywa
Luku
Mafuta taa
Akiba ya fedha
Dawa za 1st Aid
Upo sahihi ila kwa aliye na hali ngumu hapo anahitaji muhimu zaidi For me na hiki tenaendea Ramadha For Muslims Mchele tu na gadgets zitazoweza pika uwo mchele, ukiwa na hali mzuri uta extend hata pizza, Cheese utaweka ndani.
 
Habari wakuu,

Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.

Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.

Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.

Natanguliza shukrani,
Mimtamu
Daaah jina lako tuu mimi na Mkuyenge wangu hoi bin taabani.
 
Habari wakuu,

Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.

Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.

Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.

Natanguliza shukrani,
Mimtamu
@Mimtamu
Habari ya kufufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi mtamu kama we mwenyewe ulivyo na radha tamu....asantee.
 
Swali langu linajikita zaidi kwa siye tulio hali ya kati na chini ambao hatujazoea kuhifadhi vyakula. Kuna wengi hatujui vyakula gani ni muhimu kuhifadhi na visivyoharibika haraka.
Upo sahihi ila kwa aliye na hali ngumu hapo anahitaji muhimu zaidi For me na hiki tenaendea Ramadha For Muslims Mchele tu na gadgets zitazoweza pika uwo mchele, ukiwa na hali mzuri uta extend hata pizza, Cheese utaweka ndani.
 
Mchele,unga wa ngano,tambi,maharage,nyanya za kopo. Au unanunua nyanya nyingi unasaga unafunga kwenye mifuko ya barafu unaweka kwenye friza. Vitunguu maji,unga wa ugali. Nyama nyingi unakata kata unahifadhi kwenye mifuko midogo midogo ya kuweka kwa friza.
 
Nimepata darasa hapo kwenye nyanya, niliwaza kuhusu kuharibika. Asante sana shoga.

Ila vipi mfano kwa ambao hawana friji au kukitokea changamoto ya umeme
 
Nyanya za nini? Hivi During the crisis mfano WFP wanapo sambaza Chakula huwa wanasambaza na nyanya za makopo?

Kwenye nyanati ngumu unaanza kuulizia vitunguu sijui Nyanya? Hizo ni luxury sana.

Back
Top Bottom