Mimtamu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 368
- 105
Habari wakuu,
Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.
Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.
Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo au kuhiadhi katika kipindi hiki iwapo nitaamua kujifungia nyumbani na familia.
Natanguliza shukrani,