Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi.
Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana.
Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali mbali hivyo.
Sasa nilikuwa naomba msaada kwa mtu anaejua namna ya kudownloa hizo application kama Yaccine tv Crycfy na nyinginezo kupitia Smart Tv. Nimeshajaribu mara kadhaa kusingn email yangu kwenye browser ya tv imekuwa kipengele.
Samahani kwa mtu ambae nitakuwa nimemkwaza By the way natumia Hisense Vidaa smart Tv karibuni sana.