goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,079
- 1,406
Toa elimu zaidi hapo kwenye kutuma app kwenye tvAs long as tv yako ina android na os version yake ni kuanzia 9 na kuendelea, Tumia simu yako kudownload apk file ya streaming app kisha tuma hilo file lwenye tv install.