ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,889
- 3,326
Kama ni android si ndo nzuri iyo mkuu app kibao tu ila kwa kuanzia nenda google search link ya fawanews.scAndroid mkuu
Kama ni android si ndo nzuri iyo mkuu app kibao tu ila kwa kuanzia nenda google search link ya fawanews.scAndroid mkuu
Sawa mkuu shukran ngoja nikazitafute kariakoo
Sawa mkuu shukran sana but sielew ufanyaji wake wa kazi upoje? Yenyewe inafanya kazi kama simu za android
Unachomeka kama USB afu TV yako inakua full Android kama simu kwahiyo una login Google Play, una download Apps nk.Sawa mkuu shukran sana but sielew ufanyaji wake wa kazi upoje? Yenyewe inafanya kazi kama simu za android
Mimi natumia fawanewsSawa sasa application hizi za livestreaming huwa zinahitaji acount kama vile ilivyo playstore bila kuwa na gmail acount utoboi
Oooh kumbe simple mkuu shukran sana nimekuelewa vemaUnachomeka kama USB afu TV yako inakua full Android kama simu kwahiyo una login Google Play, una download Apps nk.
Kaka shukran nimefanikiwa aisee ubarikiwe sanaMimi natumia fawanews
Ameen.Kaka shukran nimefanikiwa aisee ubarikiwe sana
Nimeangalia game ya chelsea na west ham bila shida vp ulaji wake wa bandle upoje?Ameen.
Ulaji wa bando sio mkubwa.Nimeangalia game ya chelsea na west ham bila shida vp ulaji wake wa bandle upoje?
Nenda google andika fawanews.sc hapo unapata mechi zote duniani hata hizi za bongoNimeshajaribu sana labda unipe app nzr ya kufanya cast
Nimefanikiwa kaka shukran sanaNenda google andika fawanews.sc hapo unapata mechi zote duniani hata hizi za bongo
Kuna Goals.com pia naona wapo vzr mkuuUlaji wa bando sio mkubwa.
Ila utumie fawanews.sc
Fawanews nyingine ni fake
Mkuu mimi natumia TCL TV, Remote imeandikwa "ROKU TV" kuna maarifa ya kuweka app zaidi?Remote yako imeandikwa Roku?
Mad Max kuna issue huku, msaada..Mkuu mimi natumia TCL TV, Remote imeandikwa "ROKU TV" kuna maarifa ya kuweka app zaidi?
View attachment 3450000
Fawa low quality mkuu ndio shida yakeFawa iko pw ila quality sjui naongezaje