Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,693
Wakikujibu uni tagWakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi.
Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana.
Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali mbali hivyo.
Sasa nilikuwa naomba msaada kwa mtu anaejua namna ya kudownloa hizo application kama Yaccine tv Crycfy na nyinginezo kupitia Smart Tv. Nimeshajaribu mara kadhaa kusingn email yangu kwenye browser ya tv imekuwa kipengele.
Samahani kwa mtu ambae nitakuwa nimemkwaza By the way natumia Hisense Vidaa smart Tv karibuni sana.
Remote yako imeandikwa Roku?Hisense Vidaa smart Tv
Unahitaji Android Tv box/stick, ili uweze kupakua na kuInstall hizo apps ukizotaja hapo juu.natumia Hisense Vidaa smart Tv karibuni sana.
Mkuu hii naweza kuipata wapi?Unahitaji Android Tv box/stick, ili uweze kupakua na kuInstall hizo apps ukizotaja hapo juu.
Vidaa App store iko limited kwa streaming apps kama YouTube, Netflix na nyingine za US, si nje ya hapo.
Karikoo zipo za kutoshaMkuu hii naweza kuipata wapi?
Nimeshajaribu sana labda unipe app nzr ya kufanya castAu awe ana cust kwa simu kwenda kwenye tv
Kwa tv gani mkuu?Mimi natumia browser tuu inanitosha.
Sawa mkuu zinakuwa bei gani mkuuKarikoo zipo za kutosha
Hapana bossRemote yako imeandikwa Roku?
SameKwa tv gani mkuu?
Mkuu mbona kwangu kuasign gmail kwenye web inakuwa ngumuSame
mimi sijasign in wala nini.Mkuu mbona kwangu kuasign gmail kwenye web inakuwa ngumu
Nunua stick ya 100-150kMkuu hii naweza kuipata wapi?
Sawa sasa application hizi za livestreaming huwa zinahitaji acount kama vile ilivyo playstore bila kuwa na gmail acount utoboimimi sijasign in wala nini.
Nikiconnect na wifi, zile in built apps, nakutana na hiyo inaitwa browser.
Hapo ndipo nasearch kila kitu ninachotaka,
Android mkuuTv yako inatumia Os ipi?
Sawa mkuu shukran ngoja nikazitafute kariakooNunua stick ya 100-150k