Msaada wa anayejua namna ya kudownload application kwenye Tv

Sawa mkuu shukran sana but sielew ufanyaji wake wa kazi upoje? Yenyewe inafanya kazi kama simu za android
Unachomeka kama USB afu TV yako inakua full Android kama simu kwahiyo una login Google Play, una download Apps nk.
 
Unachomeka kama USB afu TV yako inakua full Android kama simu kwahiyo una login Google Play, una download Apps nk.
Oooh kumbe simple mkuu shukran sana nimekuelewa vema
 
As long as tv yako ina android na os version yake ni kuanzia 9 na kuendelea, Tumia simu yako kudownload apk file ya streaming app kisha tuma hilo file lwenye tv install.
 
Ukiwa na smart tv raha sana jisajili Kisha ingia play store shusha app unayotaka mambo yanakuwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…