Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

Mr HQ

Member
Joined
Oct 26, 2020
Posts
81
Reaction score
51
HABARI WANA JF,

Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1.Nini Chanzo.

2.Madhara

3.Matibabu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
HABARI WANA JF
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba Kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.πŸ™πŸ™πŸ™
Je damu inatoka nyepesi au hutoka na vipandevipande na kuwa nyeusi?

Je unapata maumivu ya kiuno, tumbo kuuma kwa chini au mgongo kuuma wakati wa hali hiyo ya damu kutoka?

Je unapata homa?

Kwa makadirio huwa unatumia pedi ngapi hiyo damu inapotoka?

Je hupati kizunguzungu?

Hupati uchovu wa mwili kuhisi hauna nguvu?

Je hauhisi kama hauoni vizuri machoni?
 
Je damu instoka nyepesi au hutoka na vipandevipande na kuwa nyeusi ?

Je unapata maumivu ya kiuno,tumbo kuuma kwa chini au mgongo kuuma wakati wa hali hiyo ya damu kutoka...
Kwa Sasa Anatoka Damu nyepesi Ya Kawaida Na Hasikii Maumivu Ya Tumbo Tena Ila Kuna Siku Kichwa Kinamuuma Na Kuacha Bila Hata Ya Kunywa Dawa.
 
Kwa Sasa Anatoka Damu nyepesi Ya Kawaida Na Hasikii Maumivu Ya Tumbo Tena Ila Kuna Siku Kichwa Kinamuuma Na Kuacha Bila Hata Ya Kunywa Dawa.
Muwahishe hospitali haraka sana.
 
Hakuna ujanja, yaani apo ni kujisalimisha kwa dr. mapema, vinginevyo akiwasikiliza ma tiba mbadala jinala lake litabadilika
 
Shukran sanaπŸ™
Hiyo ni dalili mimba haijatoka kwaiyo wahi hospital kapige utra saundi, waone tatizo nini, kama mimba haijakamilika kutoka basi unaitaji kusafishwa, au utapewa dawa ambazo huwa zina safisha
 
Incomplete abortion,kabla hujafanya kitu ni bora utafte kukielewa vizuri,kama mliamua kufanya hivyo ilitakiwa akasafishwe,wahi hospitali akasafishwe la sivyo mnahatarisha hicho kizazi
 
Hiyo ni dalili mimba haijatoka kwaiyo wahi hospital kapige utra saundi, waone tatizo nini, kama mimba haijakamilika kutoka basi unaitaji kusafishwa, au utapewa dawa ambazo huwa zina safisha
Shukran Sana πŸ™πŸ™πŸ™
 
Incomplete abortion,kabla hujafanya kitu ni bora utafte kukielewa vizuri,kama mliamua kufanya hivyo ilitakiwa akasafishwe,wahi hospitali akasafishwe la sivyo mnahatarisha hicho kizazi
Ahsantee sana
 
HABARI WANA JF
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba Kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.πŸ™πŸ™πŸ™
Huyo mtoto wa Kgm umeshamharibia kizaz tayar.
 
Back
Top Bottom