Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je damu inatoka nyepesi au hutoka na vipandevipande na kuwa nyeusi?HABARI WANA JF
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba Kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πππ
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.πππ
Kwa Sasa Anatoka Damu nyepesi Ya Kawaida Na Hasikii Maumivu Ya Tumbo Tena Ila Kuna Siku Kichwa Kinamuuma Na Kuacha Bila Hata Ya Kunywa Dawa.Je damu instoka nyepesi au hutoka na vipandevipande na kuwa nyeusi ?
Je unapata maumivu ya kiuno,tumbo kuuma kwa chini au mgongo kuuma wakati wa hali hiyo ya damu kutoka...
Muwahishe hospitali haraka sana.Kwa Sasa Anatoka Damu nyepesi Ya Kawaida Na Hasikii Maumivu Ya Tumbo Tena Ila Kuna Siku Kichwa Kinamuuma Na Kuacha Bila Hata Ya Kunywa Dawa.
Hiyo ni dalili mimba haijatoka kwaiyo wahi hospital kapige utra saundi, waone tatizo nini, kama mimba haijakamilika kutoka basi unaitaji kusafishwa, au utapewa dawa ambazo huwa zina safishaShukran sanaπ
Huyo mtoto wa Kgm umeshamharibia kizaz tayar.HABARI WANA JF
Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba Kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.πππ
1.Nini Chanzo.
2.Madhara
3.Matibabu.πππ