Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

Nawaza watoto Mashuleni kweli Tz ya kusaidiwa mafuta ya Alizet na mchele na Maharagwe hivyo vyakula ziko vingi sana Hapo dodoma tu Alizet mpk wanapima kwa koroboi Leo uletwe msaada 😥
 
Kwani dhahabu yote inachimbwa na makampuni ya Nchi gani ?
Canada 🇨🇦 = USA 🇺🇸
Kwahiyo hata wakitoa mchele wa misaada kwa miaka mitano mfululizo bado ni sisi ndio tumeliwa tu !
Mstaafu mmoja alikuwa anasemaga kula uliwe ndio hiyo sasa ! 😅🙏🙏
 
Kama kuna kaukweli fulani
 
Ni hao hao USA,waliwahi toa mahindi mwisho ukapatikana unga wa Yanga.
Wao huwa wanatoa kidogo kisha wanayatuma makampuni yao yaje yachukue madini kama Dhahabu na mengineyo kwa kutupa asilimia ndogo kabisa !
JPM alisemaga ndugu zangu tumepigwa sana !
😅😅🙏🙏
 
Kuukataa msaada toka Marekani ni kosa la Jinai. Adhabu yake ni kupandikiziwa matatizo mpaka muingie katika vita.
Wale wamechukua Dhahabu zetu kwa miaka mingi sana kwa kutoa asilimia 3% !
Kwahiyo wakirudisha hisani kidogo haina shida !
Na ndio maana unaona Nchi iko Stable !
Hawana haja ya kutudhuru sisi kwa sababu sisi ni marafiki sana na wao !
🙏🙏🇺🇸🇹🇿🇨🇦 🙏🙏
😅😅👏👍
 
Waliopokea ni wapumbavu wakahojiwe.

Tanzania inahitaji Msaada lakini sio wa vyakula unless hao watu wangetoa Kwa wale watu wa Hanang au Vituo vya mayatima au Wazee labda tungeelewa
 
Pia nahisi kwamba marekani inaitangazia dunia kwamba Tanzania tuna afya mgogoro na njaa kama somalia au sudani wakati mahindi na michele i aozea shambani huko kilombero.. hapa nimemkumbuka Magufuli, asinge kubali haya mambo.
Mbona bei ya chakula Mjini iko juu?
 
Hivi Bibi Titi hajatoa mavuno yake huko aliko?
 
maskini hamna jema nyie .mmepewa chakula Cha Bure mlishe vitoto vyenu vyenye utapiamlo mnaanza kelele..
Hao wamarekani wawawekee viambata sumu au ushoga vya nn wakati tayar wengi wenu mshakufa while mnaishi.
 
Jiulize kwanza hicho chakula ni salama Kwa afya ya watoto wetu kabla ya akili yako kusifia Kila kitu km mtu mwenye utindio wa ubongo
Usalama wa chakula ni salama kitu gani? Nani ana muda wa kuuliza hayo maswali? Hoja ni kwamba sisi ni walemavu kuhitaji misaada? Au tupo vitani? Vijana wamekaa ku-bet na kuendeleza ngono na pombe halafu mnasubiri misaada. Si ndio wanaume wataolewa? Mimi sipo. Ndukiiii
 
Hahaha......tunasubiri ufafanuzi wa Katibu Mkuu Mwenezi CCM Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…