Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

Mi ninavyojua mtoto au mtu akianguka chooni kama sio kuteleza kwa kawaida bali akianguka kwa kukubwa na vitu vya ovyo kama majini ni hatari sana anaweza kupata kifafa au kuparalyze

Walikuwa wanafanya ivi akiondoka katika hali iyo hapo hapo chooni wanachukua uchafu kama mchanga mchanga wa chooni wanampaka
 
Alipimwa malalria?
Sukari?
Je kuna historia ya kifafa katika ukoo?
Alishawah kupata ajli huko nyuma?
Anakulaga nyma ya nguruwe?
Napemdejeza CT scan and EEG Mkuu
So afike hospital za rufaa kwa ajili ya thorough neurological evaluation, BUgando, Kcmc au Muhimbili
 
Hii hutokea kwa watu wengi tu na Jibu ni rahisi sana
Ukiamka ghafla kutoka usingizini mara nyingi pressure hushuka ghafla kwa sababu ya change in position kitaalam tunaina postrual hypotension….
Ushauri ukiamka kaa kidogo kitandani kabla ya kusimama!
Hata kula ashindwe kula, hiyo pressure ikishuka unajikuta uko makaburini mnafanya Ibada ya mazishi
 
Vipi kwani walokole uchwara hawapo hapo jirani umpeleke halafu ulete mrejesho hapa jukwaani ?.
 
Back
Top Bottom