Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #61
aminaZidisheni maombi MKUU.. msitoke kwenye njia yenu ya imani mtakufuru.. Kikubwa ni chuki na wivu tu vinawasumbua watu dhidi ya mdogo wenu kizuri zaidi wakiona dogo ni mtulivu na muelewa na wakiringanisha na watoto wao wasiosikia lolote basi ndio kinawasumbua wanaona baada ya miaka 20 hatakuwa makini sana kutokana na utulivu wake.. mpiganieni kwa maombi atakuwa sawa tu