Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
- Thread starter
- #41
uchwara tena kaka.Vipi kwani walokole uchwara hawapo hapo jirani umpeleke halafu ulete mrejesho hapa jukwaani ?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchwara tena kaka.Vipi kwani walokole uchwara hawapo hapo jirani umpeleke halafu ulete mrejesho hapa jukwaani ?.
Chunguza kwa makini mwenendo wa dogo, marafiki zake wa karibu, chunguza kwa makini begi lake na madaftari yake, angalia aliandika nini miezi sita ya nyuma hadi alipobadilika. Pata taarifa na mwenendo wake shuleni katika kipindi hicho utagundua kitu. Mshirikishe mwalimu wake wa darasa.17yrs
asante mkuu tutalifanyia kazi.Chunguza kwa makini mwenendo wa dogo, marafiki zake wa karibu, chunguza kwa makini begi lake na madaftari yake, angalia aliandika nini miezi sita ya nyuma hadi alipobadilika. Pata taarifa na mwenendo wake shuleni katika kipindi hicho utagundua kitu. Mshirikishe mwalimu wake wa darasa.
Siku hizi vijana wa umri huo wanaharibika kwa kufuata mkumbo, kuvuta bangi,mihadharati,madawa ya kulevya,pombe, dawa za kuongeza nguvu,zikiwemo zile za kuongeza nguvu za kiume.
Fanya mawasiliano na watalaamu wa saikologia ukiwakosa mtafute Daktari au hata nesi aliyesomea magonjwa ya akili....atakuwa msaada kwako. Kila la kheri!.
Aisee na mim ninakama cku tatu hii hali imenikutaMbona umetutisha mkuu? Japo yana ukweli ndani yake ... ngoja nitoe ushuhuda kidogo
Mimi naishi hapa dar ila kuna siku usiku niliamka kwwda haja ndogo nlipo fika toilet baada ya kumaliza haja nlipata kizungu zungu cha gafla
Mwili wote uka toka jasho
Nlijitahidi kutoka nje japo kwa tabu sana nikajikongoja hadi mlangoni nlipo pigwa na upepo kidogo nikajiskia afadhali ikanibidi nikae chini kwanza notafakari hali iliyo nipata ilinichukua kama dk 10 ivi ndo nkawa sawa ndipo nikaingia ndani
Mpaka Leo cjajua ile hali ilisababishwa na nini
Na kwenda toilet usiku ilikoma
Unapotoka usingizi mwili unakua haujakaa sawa yani nguvu za mwili hazijabalance vilivyo.Mbona umetutisha mkuu? Japo yana ukweli ndani yake ... ngoja nitoe ushuhuda kidogo
Mimi naishi hapa dar ila kuna siku usiku niliamka kwwda haja ndogo nlipo fika toilet baada ya kumaliza haja nlipata kizungu zungu cha gafla
Mwili wote uka toka jasho
Nlijitahidi kutoka nje japo kwa tabu sana nikajikongoja hadi mlangoni nlipo pigwa na upepo kidogo nikajiskia afadhali ikanibidi nikae chini kwanza notafakari hali iliyo nipata ilinichukua kama dk 10 ivi ndo nkawa sawa ndipo nikaingia ndani
Mpaka Leo cjajua ile hali ilisababishwa na nini
Na kwenda toilet usiku ilikoma
Nakushauri kwanza utafute mtaalamu ambaye ataweza kukwambia kama hilo tatizo ni la kiafya au ulozi, kwa sababu hapo hujui uende hospitali au kwa mganga au kwenye visomo/maombi. Unaweza mkajikuta mnaenda kupoteza muda sehemu ambayo si sahihi na kuzidi kuhatarisha hali ya mgonjwa.asante mkuu tutalifanyia kazi.
asante sana madam. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.Nilisikia kitu kama hiki kwa mama mmoja ambaye kijana wake alikuwa fom six huko iliboru.
Almost the same na hii yako.
If you don't care nifuate nikuunge na huyo madame
asante sana mkuu. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.Nakushauri kwanza utafute mtaalamu ambaye ataweza kukwambia kama hilo tatizo ni la kiafya au ulozi, kwa sababu hapo hujui uende hospitali au kwa mganga au kwenye visomo/maombi. Unaweza mkajikuta mnaenda kupoteza muda sehemu ambayo si sahihi na kuzidi kuhatarisha hali ya mgonjwa.
Naweza kukusaidia kumpata mtu ambaye ataweza kukusaidia kwenye hilo.
Wakati mkimtizama hali yake, tafuteni suluhisho la kudumuasante sana mkuu. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.
Check malaria mkuu .Let me cut the bullshit and hit the point.
Leo nimepokea simu kutoka nyumbani, Napewa taarifa kuwa mdogo wangu wakiume amepata matatizo anapoteza fahamu.
Tatizo limeanza siku chache zilizopita( yani ijumaa ya tarehe 04.02.2022). Kijana aliondoka asubuhi sana kwenda shule, mashuhuda wanasema aliwahi sana siku hiyo isivyokawaida yake maana Kijana aliondoka sa kumi na Moja (11) alfajiri.
Mdogo wangu njiani alikutana na wenzie wawili na kufanya msafara uwe wa wanafunzi wa tatu.
Watatu hao walijongea mpaka shuleni. Baada ya kukaa kwa muda kidogo, dogo aliwaacha wenzie kuelekea chooni. Ila uko chooni dogo alikaa sana mpaka wenzie wakashuku kuwa kunakitu hakipo sawa, ikabidi waenda kumuangalia. Kufika uko dogo wakamkuta amedondoka chini hajitambui na ni kama amenyooka hivi.
Hivyo wakafanya utaratibu wa kumpeleka hospitali ila huko hakubahatika kupata nafuu wala kugundulika anatatizo lolote la kiafya ilihali dogo alikua bado hajitambui na amegangamara.
Siku hiyo hiyo ya Ijumaa ikabidi dogo apelekwe kwenye maombi kanisani.
Maombi yalifanya kuanza sa tatu asubuhi mpaka sa kumi na mbili jioni dogo akazinduka.
Jumamosi ya jana dogo siku nzima aliitumia kanisani (sabato). Ila kimbembe leo tena Jumapili, naambiwa dogo ameamka sa 11 alfajiri anajiandaa kuelekea shule, shuhuda dada wa kazi. Kumuuona vile akaenda kumshitua faza hausi. Dogo alivyokua "busted" pale pale kazima tena.
Duh ikawa ni noma sana, maombi yalifanyika na nyimbo, dogo akawa sawa. Dogo akaulizwa anakumbuka nini alivyoviona ama kuviishi muda mchache iliyopita. Dogo anasema alikua malaloni wanaofanya mazishi, anaulizwa mazishi ya nani hasemi.
Muda wa chakula cha mchana umefika dogo anasema ameshiba, eti ameshakula, anaulizwa umekula nini anasema kala nyama masibani. Watu duh!!!!
SASA NIMEKUJA KWAKO WANA JAMII FORUM.
Nakukaribisha utoe mchango wako wa mawazo ilituweze kumuundolea adha hii mdogo wetu mana hali ni mbaya japo siku ni chache. Ila pale anapokua amepoteza fahamu pia haja zote mdogo na kubwa hutoka bila kujizuia.
Ulishawahi kusikia kesi kama hii?
Je, mtu aliekubwa na hali hii alitibiwaje?
Am open kupokea kila aina ya tiba utakayoipendekeza iwe hospitali, ya kiimani au asili.
MCHANGO WAKE NI MUHIMU SANA KWA MDOGO WETU
Sawa mkuu.asante sana mkuu. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.
mgonjwa yupo Mwanza, Nyamagani.Mkuu uko mkoa na wilaya ip?
Umeshapata suruhu au badomgonjwa yupo Mwanza, Nyamagani.
bado tunasikilizia. Siku ya jana mgonjwa hakupatwa na hiyo hali.Umeshapata suruhu au bado
unashauri mgonjwa tumpime nini na nini extensively?Acha kuamini katika uchawi kawaone wataalamu wa afya