Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

Mi ninavyojua mtoto au mtu akianguka chooni kama sio kuteleza kwa kawaida bali akianguka kwa kukubwa na vitu vya ovyo kama majini ni hatari sana anaweza kupata kifafa au kuparalyze

Walikuwa wanafanya ivi akiondoka katika hali iyo hapo hapo chooni wanachukua uchafu kama mchanga mchanga wa chooni wanampaka
 
Alipimwa malalria?
Sukari?
Je kuna historia ya kifafa katika ukoo?
Alishawah kupata ajli huko nyuma?
Anakulaga nyma ya nguruwe?
Napemdejeza CT scan and EEG Mkuu
So afike hospital za rufaa kwa ajili ya thorough neurological evaluation, BUgando, Kcmc au Muhimbili
 
Hata kula ashindwe kula, hiyo pressure ikishuka unajikuta uko makaburini mnafanya Ibada ya mazishi
 
Huyo dogo ana umri gani?
 
Vipi kwani walokole uchwara hawapo hapo jirani umpeleke halafu ulete mrejesho hapa jukwaani ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…