Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

Nilisikia kitu kama hiki kwa mama mmoja ambaye kijana wake alikuwa fom six huko iliboru.

Almost the same na hii yako.

If you don't care nifuate nikuunge na huyo madame
 
Chunguza kwa makini mwenendo wa dogo, marafiki zake wa karibu, chunguza kwa makini begi lake na madaftari yake, angalia aliandika nini miezi sita ya nyuma hadi alipobadilika. Pata taarifa na mwenendo wake shuleni katika kipindi hicho utagundua kitu. Mshirikishe mwalimu wake wa darasa.
Siku hizi vijana wa umri huo wanaharibika kwa kufuata mkumbo, kuvuta bangi,mihadharati,madawa ya kulevya,pombe, dawa za kuongeza nguvu,zikiwemo zile za kuongeza nguvu za kiume.
Fanya mawasiliano na watalaamu wa saikologia ukiwakosa mtafute Daktari au hata nesi aliyesomea magonjwa ya akili....atakuwa msaada kwako. Kila la kheri!.
 
asante mkuu tutalifanyia kazi.
 
Aisee na mim ninakama cku tatu hii hali imenikuta
 
Unapotoka usingizi mwili unakua haujakaa sawa yani nguvu za mwili hazijabalance vilivyo.

Unapoingia chooni mule kuna mikojo ambayo ina chloride.... Ukivuta chloride lazima upate kizunguzungu so unapoingia chooni ghafla kabla mwili hauja stabilize lazima uishiwe nguvu...

So unashauriwa unapoamka usikimbilie chooni wacha upumzike kwanza.

Pia usafi wa vyoo ni muhimu.

Pia kwa kuongezea unapoamka usijimwagie maji kichwani ghafla ndio maana wengi huanguka bafuni kwa presha..
 
Mim hii hali ilinikuta sikuwa nimetoka kulala ila nlikuwa nachek movie mkojo ukanibana so nkaenda kukojoa
Yaan nlihis kama nataka kufa vle kizunguzungu cha ajab na kichwa kuuma sana..
 
asante mkuu tutalifanyia kazi.
Nakushauri kwanza utafute mtaalamu ambaye ataweza kukwambia kama hilo tatizo ni la kiafya au ulozi, kwa sababu hapo hujui uende hospitali au kwa mganga au kwenye visomo/maombi. Unaweza mkajikuta mnaenda kupoteza muda sehemu ambayo si sahihi na kuzidi kuhatarisha hali ya mgonjwa.

Naweza kukusaidia kumpata mtu ambaye ataweza kukusaidia kwenye hilo.
 
Nilisikia kitu kama hiki kwa mama mmoja ambaye kijana wake alikuwa fom six huko iliboru.

Almost the same na hii yako.

If you don't care nifuate nikuunge na huyo madame
asante sana madam. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.
 
asante sana mkuu. Sasa tumempa muda wa kumtizama hali yake. Leo ni siku ya kwanza, kapita bila kuonesha iyo hali. So ikijurudia tena nitakutafuta. Nitaomba unipokee.
 
Check malaria mkuu .
 
Zidisheni maombi MKUU.. msitoke kwenye njia yenu ya imani mtakufuru.. Kikubwa ni chuki na wivu tu vinawasumbua watu dhidi ya mdogo wenu kizuri zaidi wakiona dogo ni mtulivu na muelewa na wakiringanisha na watoto wao wasiosikia lolote basi ndio kinawasumbua wanaona baada ya miaka 20 hatakuwa makini sana kutokana na utulivu wake.. mpiganieni kwa maombi atakuwa sawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…