Msaada wa haraka kwenye tatizo hili la kiafya/ Ulozi

amina
 
Ila chonde chonde msije changanya madawa, huyu akaenda Kwenye maombi na huyu akaenda Kwa mganga wote Kwa tatizo la Mtu mmoja Mungu hachanganywi
Acha ubinafsi Wachungaji na Mapadri wanashinda kwa wagaganga wa kienyeji kushughulia matatizo yao na ndunguzao
 
Hili nalitambua sana kwani liliwahi kunitokea. Tafadhali sana, usikurupuke tu mara uamkapo kwenda chooni. Kaa kwanza kitandani kwa muda ndiposa usimame na kuendelea na Safari yako kwenda msalani.
 
Acha ubinafsi Wachungaji na Mapadri wanashinda kwa wagaganga wa kienyeji kushughulia matatizo yao na ndunguzao
Ubinafsi gani? Sawa kama mapadri na wachungaji wanakuja huko hakumfanyi na yeye aje huko, ndio Maana nimemtahadharisha
 
dah inasikitisha
Hata haisikitishi, ni kweli kuna baadhi ya wachungaji na mapadri wanaenda Kwa waganga kupata nguvu na dawa ya kivutio Ili kanisa lijae watu, hao ninwatumishi was shetani sasa sio Kwa sababu eti wachungaji wanaenda huko ndio na wewe uende, mtumaini Mungu kuwa anaweza kuponya basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…