Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Hizi kesi nina uzoefu nazo sana tena zingine ni za hapa hapa JF! Nimejifunza kutotoa hukumu ama ushauri mpaka nipate nafasi ya kusikia upande wa pili
Je kama naupande wa pili ingekua nilivyoeleza ungeshauli nini , maana naona anamahaba ya kuondoka na watoto
 
Nimejikuta nataka kujua hiyo mkeo ana umri gani baada ya kuona hapo mmevurugana kazini anarudi nyumbani kagoma kupika hadi watoto walale na njaa mpk wewe mwenyewe urudi umpige makofi ndio apike, kama hii ni kweli basi huyo mkeo atakuwa na shida kwenye akili yake
 
Kitendi cha kugombana naye tiyari umeingia cha kike[emoji2957][emoji2957]
Kwanini mkuu kwamaana kwa mdomo ule hua nnapotezea nimejifunza kuishi na mwanamke istoshe kesi za mauaji ya mke na mme kwaajiri ya ugomvi nyuzi nyingi tumezisoma rakni

Haikunisaidia chochote Nkajikuta nampiga kwa kiburi chake
 
Ndyo maana nasema wazee wetu wa zamani walikuwa na akili sana kinachokuogopesha apo ni kuachwaa aiseee kazi ipoo, sasa jichanganye uombe msamaha utajua jinsi dunia inavyokwendaa kama una nauli mpe aendee mwache afanyee vile anaweza atatulia tu acha kuogopa maisha kijana mm mke wa tatu uyuu na maisha yangu yanaendaa vizurii tu wee lia lia
 
Wewe na mkeo wote vilaza kama sio viazi..

Sasa mwanamke anamdomo mchafu bado unang’ang’ana kwake wa nini sasa...Acha upuzi wako na ulemavu wafikra hapo kwa huyo mwanamke hamna upendo wala Amani...Kama watoto wake anawatesa kwa njaa kisa ugomvi wenu ipo siku atakuwekea sumu ufe kabla ya wakati wako...Anaangalia mali huyo hamna mapenzi, Tafuta njia nyingine mbadala juu ya malezi ya watoto huku ukijipanga na maisha mapya...JF kitugani wewe potea na ujipange tena kimaisha acha ujinga...
 
😂😂😂inaonyesha huna kitu ulikuwa unamtegemea manz,sasa kama ulijua ulikuwa unamtegemea mkeo ulikuwa unampiga ili iweje? But pole,ndoa ndivyo zilivyo mkuu

Hamjamuelewa...
Huyu jamaa inaonyesha alianzisha biashara akamwacha na mkewe awe mshiriki.
Sasa anaogopa mkewe akisepa wakagawana Mali ataanzia from bottom.

Na kiukweli kuanzia chini kwenye biashara Kuna uma sanaa na huku ulikuwa juu.

#YNWA
 
Inaonekana unamtegemea mke wako kwa kila kitu na hilo duka sio lako ni lake kulingana na hiki ulichosema na quote
" Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana"

Hamjamuelewa...
Huyu jamaa inaonyesha alianzisha biashara akamwacha na mkewe awe mshiriki.
Sasa anaogopa mkewe akisepa wakagawana Mali ataanzia from bottom.

Na kiukweli kuanzia chini kwenye biashara Kuna uma sanaa na huku ulikuwa juu.

#YNWA
 
Kwanini mkuu kwamaana kwa mdomo ule hua nnapotezea nimejifunza kuishi na mwanamke istoshe kesi za mauaji ya mke na mme kwaajiri ya ugomvi nyuzi nyingi tumezisoma rakni

Haikunisaidia chochote Nkajikuta nampiga kwa kiburi chake
Hujiwezi kwake ndyo maana unampiga huna maamuzi binafsi wanawake wanakera sans ila zuia hasira zako acha kumpiga mwili wake piga akili yake ukianza kupiga akili yake ata kupanua mdomo kwako atakuwa anafikiria Mara mbili
 
Kuipigeje akili yake mkuu mf
 
........ Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu .....

Hivi kwanini wanawake..
1. Huwa na midomo michafu
2. Huwa na midomo ya "WANAONGEA balaa"
3. Yaani ni kupepeta tu midomo.

Hivi Mungu alivyoumba "Mwanamke" alimuwekea nini mdomoni?

Beesmom To yeye amadala Lovelovie

Na wanawake wengine wotee JF

KWANINI WANAWAKE WANA MIDOMO SANAA?

Mwanamke akikuchoka ndo inakua hivo utaona kila rangi ya mdomo wake.
 
Hapana sio kuchoka nadhani Kuna lengine...

Nina rafiki yangu wanapenda sanaa na mkewe Tena marafiki balaa ila mkewe/Shemeji ANAONGEA BALAAA.

#YNWA
Kuongea sio shida, Shida ni kua kinaongolewa kipi, mdomoni kinatoka kipi.
 
Back
Top Bottom