Je kama naupande wa pili ingekua nilivyoeleza ungeshauli nini , maana naona anamahaba ya kuondoka na watotoHizi kesi nina uzoefu nazo sana tena zingine ni za hapa hapa JF! Nimejifunza kutotoa hukumu ama ushauri mpaka nipate nafasi ya kusikia upande wa pili
Kwanini mkuu kwamaana kwa mdomo ule hua nnapotezea nimejifunza kuishi na mwanamke istoshe kesi za mauaji ya mke na mme kwaajiri ya ugomvi nyuzi nyingi tumezisoma rakniKitendi cha kugombana naye tiyari umeingia cha kike[emoji2957][emoji2957]
Usilazimishe. Muache aende zakeMi naona nmuache atachagua aende na watoto au awaache yeye mwenyewe
😂😂😂inaonyesha huna kitu ulikuwa unamtegemea manz,sasa kama ulijua ulikuwa unamtegemea mkeo ulikuwa unampiga ili iweje? But pole,ndoa ndivyo zilivyo mkuu
Inaonekana unamtegemea mke wako kwa kila kitu na hilo duka sio lako ni lake kulingana na hiki ulichosema na quote
" Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana"
Hujiwezi kwake ndyo maana unampiga huna maamuzi binafsi wanawake wanakera sans ila zuia hasira zako acha kumpiga mwili wake piga akili yake ukianza kupiga akili yake ata kupanua mdomo kwako atakuwa anafikiria Mara mbiliKwanini mkuu kwamaana kwa mdomo ule hua nnapotezea nimejifunza kuishi na mwanamke istoshe kesi za mauaji ya mke na mme kwaajiri ya ugomvi nyuzi nyingi tumezisoma rakni
Haikunisaidia chochote Nkajikuta nampiga kwa kiburi chake
Kuipigeje akili yake mkuu mfHujiwezi kwake ndyo maana unampiga huna maamuzi binafsi wanawake wanakera sans ila zuia hasira zako acha kumpiga mwili wake piga akili yake ukianza kupiga akili yake ata kupanua mdomo kwako atakuwa anafikiria Mara mbili
........ Mkewangu anakuaga na mdomo mchafu .....
rosi =lossMkuu kumradhi
Samani- thamani
Rakini- Lakini
Nauri - Nauli
Ushauri , mwanamke kama hakutaki ataonyesha tu kwanini uchague mmoja kati ya 4 billions.
Mwanamke akikuchoka ndo inakua hivo utaona kila rangi ya mdomo wake.
Mwanamke akikuchoka ndo inakua hivo utaona kila rangi ya mdomo wake.
Kuongea sio shida, Shida ni kua kinaongolewa kipi, mdomoni kinatoka kipi.Hapana sio kuchoka nadhani Kuna lengine...
Nina rafiki yangu wanapenda sanaa na mkewe Tena marafiki balaa ila mkewe/Shemeji ANAONGEA BALAAA.
#YNWA
Kuongea sio shida, Shida ni kua kinaongolewa kipi, mdomoni kinatoka kipi.