Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Hebu zingatia hii sentence!
Wakuu Naomba mnipe mbinu maana tukigawana ndio mwisho wa kuona humu jf maisha yangu yatakua magumu sana,
Mhe, mtu akishaonesha nia ya kuachana nawe kubali tu, akiondoka sawa, akitaka mgawane mgawie afu anza upya
 
Mtoa mada Ngoja nitulie nije nilete Uzi wangu kwa nilichomfanyia wife mpk akanyooka na kuacha hiyo tabia,

Nikitype hapa kwny Uzi wako hapatatosha.

Nataka nifafanue in detail,
tulianzia wapi,tulivogombana na tukafikaje kwny kugawana mali mpk nikamnyoosha.

Nauleta soon....
 
Siku niliyotambua kuwa WANAUME HAWAPENDI MWANAMKE MWENYE KELELE ndio siku niliyozidi kuweka nukta za uzungumzaji 8 years in marriage mume wangu hajawahi hata kunifinya, wengi hatujui kuwasilisha malalamiko yetu.
A man deserves respect doing so doesn't make you inferior.
Mwanaume asie na msimamo Trust me ndio huwa wananaoelekeshwa kama mtoa mada.
A Bible says, Mwanamke amuheshimu mume wake na Mwanaume ampende mkewe...... Biblia ilisena hivyo kwa sababu ilijua Nikazi hawa viumbe kutoa upendo na mwingine heshima. Muishi nasi kwa akili.
 
Kama ni mjinga sawa ...mali zitaliwa.
 
Naomba nijibu kwa uelewa wangu. Tangu kwenye ile bustani..adui alijua kutukamata vinywa vyetu. Sisi tangu tuumbwe kwa kiranga tukaenda piga soga na shetani daddekkk...Hawa akaenda kupiga umbea. Hapo hapo tukategwa katika vinywa vyetu..shetan sijui alijua kwamba huyu nikimfanya aongee tu najua atamkosea muumba wake.

Vinywa vyetu ni adui mkubwa sana wa maisha yetu sisi wanawake. Kwa wote wenye au wasio na ndoa. Tunajionea sawa tu tunavyosifiwa na wanasaikolojia kwamba "ooh mwanamke ana maneno mengi kwa siku sijui 10,000..basi tunajionea sawa kuongea sana. Tunajisahau tunapofungua midomo yetu adui anakuja hapo mbele mpaka tumkosee Mungu ndo anaondoka. Kinywa chako mwanamke ni adui yako...mkubwa...unless uamue kutafuta maarifa katika vitabu vya dini ili upate mngojezi katika kinywa.

We need heaven control in our mouths ili tusikosee ndugu, rafiki,watoto, wazazi, waume, wapenzi, wachumba wetu.
Mdomo dada, mama, bibi, auntie, mimi...mdomo huu!!
 
Divorce is a legal theft from a man.
Talaka utaona ni ishu ndogo ila ikifika mahakamani ni ishu kubwa na mwanamke anapewa uzito sana.
Hamna talaka hapo..hao wamechoka sasa mi cha kuwashauri ampe nauli aende akapumzike kidogo kwao...they need space kidogo. Akishaona ujinga alofanya atarudi tu. Mungu hawezi kumbariki mtu asiye na msamaha. Anachukia kuachana inshort hasa kwa unreasonable stuff kama hizi. Kweli kaka kakosea lakin its a matter of forgiving. Unless ana option ingine inayomletea jeuri. We need The Grace of forgiveness in our heart.
 
Watoto wako wanashindishwa njaa na chakula kipo, aisee mimi sikupigi nakubonda kama ngoma mamaeh..halafu unachukua begi lako unaenda kwenu, kwani shilingi ngap kugawana mali, afungue hio kesi tugawane
Sasa si ndio wife anachotaka kufanya aiseeeeeee ..... Wife anataka kusepa now

Amwache aende basi mbona kaja tena hapa kulia kulia Lol

Ushauri wangu:

- Mke anapigwa kwa upande wa kanga tu.
 
Ni ushauri mzuri umetoa mkuu. Aone mazingira ya kumrudisha kwao akapumzike kama atakubali na kutii hilo.
 
Mi Kuna kipind wife aliwahi kunisababishia loss hivyo hivyo,milivomnyoosha akaibukia kwny kudai kugawana mali. Nilichomfanyia

Hatosahau maishani,
Nilimnyoosha mpk leo hawezi thubutu huo upumbavu, Hata nimzingue neno kugawana hawez kuthubutu kutamka
Embu niulize swali kwann watu wanakimbilia mambo ya kugawana mali. I don know lakin nikimsikia mwanamke anawahi kusema "tugawane" kuna alarm mbaya sana inagonga akilin mwangu. Either ni washauri effect, kiburi cha uzima effect ama elimu effect..na inakua haijamkomboa by the way. Am open to correction anyways...wanawake embu mnitonye hapa..kwann tunawahia mali??
 
Mwache aende vuta jiko jipya. Mwanamke gani anaringa nyakati hizi za AZOLE
 
Mi Kuna kipind wife aliwahi kunisababishia loss hivyo hivyo,milivomnyoosha akaibukia kwny kudai kugawana mali. Nilichomfanyia

Hatosahau maishani,
Nilimnyoosha mpk leo hawezi thubutu huo upumbavu, Hata nimzingue neno kugawana hawez kuthubutu kutamka
Ulimnyoshaje mkuu tupe mbinu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Soon as possible

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Yani analaza watoto njaa kisa mmegombanaa mbwa hiyoo ungepigaaa mpaka ilazweee
 
hakuna mwanamke ambae hana maneno mabayaa amini yaniii so ukisema eti umuache mwanamke kisa mdomo utaishia kutesa watotoo tu...hawa ni kupigaa makofi kadhaa ananyooka akingangania talakaa unampaaa ila sio wew ndo uanze kumpa talaka
 
Yaani hicho kitu mke wangu ndio anakiogopa sana Talaka kukidai kwangu. Maana anajua akili yangu kwenye hili,sina simile.
Wewe badala ya kufurahia umeepukana na matatizo wewe tena unasikitika?. Tena kwa uelewa huo na maneno hayo ya mkeo,shangilia kuachana nae. Haraka wewe mwambie afuate sheria.
Hata usipompa leo Talaka bado atakusumbua sana ksbb tayari akili yake ina tamaa. Iko kwenye vitu.
Na kikubwa wengi mnafocus kwenye Mali badala ya kujali moyo wako uwe Salama. Tena ukiachana na huyo nakuhakikishia utapiga hatua sana. Kuwa willing tu kuachana nae. Usifikirie Mali. Fikiria moyo wako kwanza. Mali umezipata hapa hapa duniani. Akiendelea kukujeruhi moyo ni maumivu ya kudumu huko mbele.
Wanawake ilikuwa wale mama zetu. Siku hizi hamna mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…