Msaada wa haraka: Mke wangu tumegombana usiku, asubuhi hii anatafuta utaratibu wa talaka tugawane mali

Hiyo game iliandaliwa ndugu Cha msingi Wewe mwambie sipo tayali tuachane bado unampenda

Msimamo wako uwe huo mpaka mahakamani Aki force mahakama itampa taraka lakini Mali Hari ruhusiwa kuzigusa


👉Mwanamke anaye taka kukupiga chini hakuombi nauli mkuu
👉Mwanamke anaye taka muachane hawezi kufkia kwenu mkuu
👉Bado anakupenda ispo kuwa anataka usahau lile Deni la 50000/= Kisha uanze kuwaza kupihwa taraka.

naweza kusema Ana kubadilishia topic kutoka A kwenda B

CHAKUFANYA MWAMBIE NAULI NTAKUPA NGOJA SAIDI ANILETEE HELA NNAYO MDAI

baada ya hapo endelea na Mambo yako Ila hakikisha chakula ndani kipo majinyapo na umeme upo

HAKUNA SHUJAA MBELE YA NJAA MKUU
 
Noo huyu mkewe inaonekana ana vitu vingi kavitunza moyoni ndio maana ile kaulo ya kusema leo ndo mwisho wa ndoa hawezi kusema mwisho wa ndoa kwa kikosa hiki tu, hawa ndani ya nyumba kutakua na chokochoko nyingi ambazo huwa hazisolviki
 
Inaonekana Mali ni za mwanamke thus why unaogopa kugawana nae Mali huto Baki na chaamaana.

Kama ndio hivyo kama mwanaume ulitakiwa uji pange na kuhakikisha una kuwa huru hasa katika maswala ya kifedha.

Ukiona una gombana na mtu Ana kimbia kwenye Kuachana basi tambua hapo haupo kwenye mikono salama hupendwi una lazimisha mahusiano

Pole ila cha kufanya ni kujikubali kuwa unaweza ishi kamwe usitegemee furaha kutoka kwa watu wengine
 
Hawana njia nyingine ya kutoa stress mnazowapa zaidi ya kuongea tofauti na nyie mna njia nyingi za kutoa stress kama kuchepuka, kupiga, kuacha
 
Wanawake wakikaa kwny vikundi vikundi wanashauriana Ujinga Sana, Happ wanadhan wanamkomesha mwanaume kumbe wanajikomesha
 

Man weapon is his confidence, mwambie talaka hutoi, nauli hutoi aende anapo enda . Nakupa wiki tu
 
Dada, shukuru Mungu una mwanaume anayejielewa, nasema tena shukuru Mungu una mwanaume anayejielewa
 
Ulimfanyia nn mkuu namimi hiyo njia uliotumia inisaidie
 
Mwaga uzi
 
Hujiwezi kwake ndyo maana unampiga huna maamuzi binafsi wanawake wanakera sans ila zuia hasira zako acha kumpiga mwili wake piga akili yake ukianza kupiga akili yake ata kupanua mdomo kwako atakuwa anafikiria Mara mbili
Yeaaah piga akili.. punisb.ent za kisaikolojia
 
asante
 
hakuna mwanamke ambae hana maneno mabayaa amini yaniii so ukisema eti umuache mwanamke kisa mdomo utaishia kutesa watotoo tu...hawa ni kupigaa makofi kadhaa ananyooka akingangania talakaa unampaaa ila sio wew ndo uanze kumpa talaka
Umeelewa mada lkn, Huyo mwanamke alitaka talaka na anaomba nauli akaanze hiyo mipango huko...So what next do you think about this negro!
 
Mkuu tayar?
 
Nimeishia hapo ulipompiga.
🚮🚮🚮🚮
 
Hapana mkuu kilichosababisha ugomvi ni majibu yake
Mpe nauli aende home, mwambie sawa kiasi hichi hapa nenda nyumbani kashtaki kama unavyotaka kisha wataniita.

Muache aende upumzishe akili, ila usimpe talaka.
 
We.mwanaume umaskini unakusumbua...elfu hamsin ndio unafuatilia mpk keroooo,tafuta kwanza hela brooooo ukipata tutakuambia Cha kufanyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…