Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.

Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi nilipowasiliana NAE? JE nikimkaushia takuwa NMEKOSEA?
 
Hakyanani Jf imevamiwa.hili nalo la kulia lia uulize kwa mtu?, tena twin ako?😆dah
 
Umekula lakini?
 
Nipe namba zake, okay ana miaka mingapi.. watampokea wanangu na atakaa nao kama ndugu zake tu
 
Unaumwa kiseyeye wewe.
 
We kubwa jinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…